Kona katika Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay (km 66) Ruvuma

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba 25, 2024. (📸 - Wizara ya Ujenzi)
WhatsApp Image 2024-09-25 at 17.38.23_adc15e1b.jpg

WhatsApp Image 2024-09-25 at 17.38.24_3d844a5f.jpg

WhatsApp Image 2024-09-25 at 17.38.26_6fadbbca.jpg

WhatsApp Image 2024-09-25 at 17.38.25_a2e56c10.jpg
WhatsApp Image 2024-09-25 at 17.38.25_3f109754.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20240925-070010.jpg
    Screenshot_20240925-070010.jpg
    373.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240925-065957.jpg
    Screenshot_20240925-065957.jpg
    378.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240925-070023.jpg
    Screenshot_20240925-070023.jpg
    369 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240925-070039.jpg
    Screenshot_20240925-070039.jpg
    360.8 KB · Views: 3
Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba 25, 2024. (📸 - Wizara ya Ujenzi)
View attachment 3107076
Iko siku wajukuu zetu watatushangaa kwa kusema sisi mababu zao tulikuwa retarded kwa sababu tulishindwa kutengeneza tunnels kama ilivyo pia sekenke au kitonga etc. Uwezo na hela za kufanya hivyo tunao ila rushwa!
 
Yaani ma injinia wa kwetu noma sana. Kulikuwa na haja gani ya kuweka kona kali na mizunguko isiyo na tija? Walishindwa kuweka madaraja au tunnels? Kutaka kusabisha ajali ambazo zingeepukika
 
Hao ni wachina si wa kwetu bro
 
Si wanafuata specification za kwetu. Naona walikwepa gharama za tunnels na madaraja
Na unaongeza urefu wa barabara ili mipigo ya % kwa km iongekeke.
Lakini sio mbaya maana wangeweza kula mpunga wote na barabara isijengwe.
 
Iko siku wajukuu zetu watatushangaa kwa kusema sisi mababu zao tulikuwa retarded kwa sababu tulishindwa kutengeneza tunnels kama ilivyo pia sekenke au kitonga etc. Uwezo na hela za kufanya hivyo tunao ila rushwa!

Kuhusu Sekenke, barabara ilipopita Sasa ni afadhali sana kuliko kona kona za Ile ya zamani.

Hata hivyo kutokana na ule Mlimani ulivyokaa, unaanza kushuka Moja Kwa Moja, haupandishi ndio ushuke, na zile sio Kona Kali kama kule Kwa zamani, hizo tunnels zitawekwa wapi?

Kwa hii iliyowekwa kwenye picha, inaleta tija.

Hata hivyo uko sahihi, hatuumizi vichwa ipasavyo kwenye mambo ya msingi.
 
Yaani ma injinia wa kwetu noma sana. Kulikuwa na haja gani ya kuweka kona kali na mizunguko isiyo na tija? Walishindwa kuweka madaraja au tunnels? Kutaka kusabisha ajali ambazo zingeepukika
Iko siku wajukuu zetu watatushangaa kwa kusema sisi mababu zao tulikuwa retarded kwa sababu tulishindwa kutengeneza tunnels kama ilivyo pia sekenke au kitonga etc. Uwezo na hela za kufanya hivyo tunao ila rushwa!
Uzuri wa barabara pia unajumuisha views utakazoona. Kupitisha hio barabara kwenye handaki ukiachilia mbali gharama pia utapoteza view nzuri sana za milima ambayo ni burudani kwa watumia barabara.
 
Back
Top Bottom