Kona katika Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay (km 66) Ruvuma

Kona katika Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay (km 66) Ruvuma

Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba 25, 2024. (📸 - Wizara ya Ujenzi)
View attachment 3107076
Mazuri yakifanyika ni wajibu kupongeza.

Hongera sana kwa utekelezaji wa huu mradi
 
Uzuri wa barabara pia unajumuisha views utakazoona. Kupitisha hio barabara kwenye handaki ukiachilia mbali gharama pia utapoteza view nzuri sana za milima ambayo ni burudani kwa watumia barabara.
Hee kazi kweli. V
 
Hee kazi kweli. V
Ngoja nikupe simple explaination. Kama point A na B zipo same altitude au almost same altitude na katikati ya hizo A na B kuna mlima una option ya kuuzunguka mlima,kuupanda au kuutoboa. Ila kama poitn A na B ziko altitude tofauti yaani moja ipo juu sana una option moja tu nayo ni kupanda huo mlima na kwenye kupanda mlima na barabara hizo kona ndio zinapunguza ukali wa muinuko.
 
Ngoja nikupe simple explaination. Kama point A na B zipo same altitude au almost same altitude na katikati ya hizo A na B kuna mlima una option ya kuuzunguka mlima,kuupanda au kuutoboa. Ila kama poitn A na B ziko altitude tofauti yaani moja ipo juu sana una option moja tu nayo ni kupanda huo mlima na kwenye kupanda mlima na barabara hizo kuna ndio zinapunguza ukali wa muinuko.
Kwa hiyo Tanzania tu ndio kuna hizo makitu. Wenzetu barabara zao hazina hayo makona kona ha kuhatarisha maisha ya abiria
 
Hapo uwe na Germany sedan.......acha tu
Kama huyu
FB_IMG_1727427796138.jpg
 
Wacha J. Muhagama ajitupe kwenye vumbi kumshukuru Rais. Ninamuelewa.
Ndugu zanguni huko nyuma, huko kulisahaulika kwa vitu kama hivyo. Mitano tena.
 
Ngoja nikupe simple explaination. Kama point A na B zipo same altitude au almost same altitude na katikati ya hizo A na B kuna mlima una option ya kuuzunguka mlima,kuupanda au kuutoboa. Ila kama poitn A na B ziko altitude tofauti yaani moja ipo juu sana una option moja tu nayo ni kupanda huo mlima na kwenye kupanda mlima na barabara hizo kuna ndio zinapunguza ukali wa muinuko.
FB_IMG_1727427972404.jpg
 
Back
Top Bottom