Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba 25, 2024. (📸 - Wizara ya Ujenzi)
View attachment 3107076
Mbona za kigoma hazishuki bei?Bora hata za Nyasa dumla moja la kilo nne ni elfu kumi tu lkn kilo moja kigoma ni 40kDagaa za nyasa zishuke bei sasa
Iko siku wajukuu zetu watatushangaa kwa kusema sisi mababu zao tulikuwa retarded kwa sababu tulishindwa kutengeneza tunnels kama ilivyo pia sekenke au kitonga etc. Uwezo na hela za kufanya hivyo tunao ila rushwa!Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba 25, 2024. (📸 - Wizara ya Ujenzi)
View attachment 3107076
BeautifulMeandering road. Loh
Hao ni wachina si wa kwetu broYaani ma injinia wa kwetu noma sana. Kulikuwa na haja gani ya kuweka kona kali na mizunguko isiyo na tija? Walishindwa kuweka madaraja au tunnels? Kutaka kusabisha ajali ambazo zingeepukika
Si wanafuata specification za kwetu. Naona walikwepa gharama za tunnels na madarajaHao ni wachina si wa kwetu bro
Na unaongeza urefu wa barabara ili mipigo ya % kwa km iongekeke.Si wanafuata specification za kwetu. Naona walikwepa gharama za tunnels na madaraja
Iko siku wajukuu zetu watatushangaa kwa kusema sisi mababu zao tulikuwa retarded kwa sababu tulishindwa kutengeneza tunnels kama ilivyo pia sekenke au kitonga etc. Uwezo na hela za kufanya hivyo tunao ila rushwa!
Hapo uwe na Germany sedan.......acha tuSeems like fun, ipo siku ntadrive hiyo road the way that kind of road is meant to be driven
Yaani ma injinia wa kwetu noma sana. Kulikuwa na haja gani ya kuweka kona kali na mizunguko isiyo na tija? Walishindwa kuweka madaraja au tunnels? Kutaka kusabisha ajali ambazo zingeepukika
Uzuri wa barabara pia unajumuisha views utakazoona. Kupitisha hio barabara kwenye handaki ukiachilia mbali gharama pia utapoteza view nzuri sana za milima ambayo ni burudani kwa watumia barabara.Iko siku wajukuu zetu watatushangaa kwa kusema sisi mababu zao tulikuwa retarded kwa sababu tulishindwa kutengeneza tunnels kama ilivyo pia sekenke au kitonga etc. Uwezo na hela za kufanya hivyo tunao ila rushwa!