Kona katika Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay (km 66) Ruvuma

Mazuri yakifanyika ni wajibu kupongeza.

Hongera sana kwa utekelezaji wa huu mradi
 
Uzuri wa barabara pia unajumuisha views utakazoona. Kupitisha hio barabara kwenye handaki ukiachilia mbali gharama pia utapoteza view nzuri sana za milima ambayo ni burudani kwa watumia barabara.
Hee kazi kweli. V
 
Hee kazi kweli. V
Ngoja nikupe simple explaination. Kama point A na B zipo same altitude au almost same altitude na katikati ya hizo A na B kuna mlima una option ya kuuzunguka mlima,kuupanda au kuutoboa. Ila kama poitn A na B ziko altitude tofauti yaani moja ipo juu sana una option moja tu nayo ni kupanda huo mlima na kwenye kupanda mlima na barabara hizo kona ndio zinapunguza ukali wa muinuko.
 
Kwa hiyo Tanzania tu ndio kuna hizo makitu. Wenzetu barabara zao hazina hayo makona kona ha kuhatarisha maisha ya abiria
 
Wacha J. Muhagama ajitupe kwenye vumbi kumshukuru Rais. Ninamuelewa.
Ndugu zanguni huko nyuma, huko kulisahaulika kwa vitu kama hivyo. Mitano tena.
 
 
Kwa hiyo Tanzania tu ndio kuna hizo makitu. Wenzetu barabara zao hazina hayo makona kona ha kuhatarisha maisha ya abiria
Hujaona barabara za dunia nzima. I'm 100% sure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…