Tetesi: Kondakta asema nauli za Daladala kupanda kwa shilingi 200/=

Tetesi: Kondakta asema nauli za Daladala kupanda kwa shilingi 200/=

kupanda kwa sh200 nikuwaonea daladala ilitakiwa ipande sh 500/ kama zamani nauli ilikuwa 400 ukiongeza 500 tulipe 900/ nauli ya kwenda tu
 
kupanda kwa sh200 nikuwaonea daladala ilitakiwa ipande sh 500/ kama zamani nauli ilikuwa 400 ukiongeza 500 tulipe 900/ nauli ya kwenda tu
Sawa kondakta tumekuelewa cha muhimu level seat tu.
 
kupanda kwa sh200 nikuwaonea daladala ilitakiwa ipande sh 500/ kama zamani nauli ilikuwa 400 ukiongeza 500 tulipe 900/ nauli ya kwenda tu
Hata hiyi 500 ni ndogo sana, ilitakiwa iwe 1000 kabisa
 
Kama Safari yako nauli ilikua 400 kwenda kurudi pia 800 kwasasa andaa 2000
 
Enzi za Kikwete duniani huku maisha yalipanda sana akasema hayawahusu ila lilipowahusu akakaa kimya

Sasa mnaambiwa ukweli tulieni tu tucheze ngoma moja duniani kote ila kama mnazalisha kila kitu na mafuta mnachimba wasiwatishe mko uchumi wa kati mbona
 
Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.

Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote.

Asanteni, naomba kuwasilisha
Sababu alishazitoa Rais wako mpendwa.Hukupata tangazo?Huko kwenu hakuna TBC Taifa?🐒🐒🐒View attachment 2182792
Duh!
Mi-5 tena kwa Bi Tozo!
 
Uenda Samia akawa hajui uzito wa CHEO chake.
Kuna kauli akizitoa zinakuwa ni AMRI.
kuna vitu havikutakiwa vipande ila kwa Sababu ameshasema vitu vitapanda ina maana ametoa amri vitu vipandishwe hata Kama vingine havihusiki kupandishwa bei
Mbona juzi kuna kiongozi nimemsikia akisema wese lipo tusiwe na wenge
 
kupanda kwa sh200 nikuwaonea daladala ilitakiwa ipande sh 500/ kama zamani nauli ilikuwa 400 ukiongeza 500 tulipe 900/ nauli ya kwenda tu
Ili kuweka sawa bei na kuondoa usumbufu wa chenji bora iwe elfu moja tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom