Iwe 1,000 kabisa kuondoa usumbufu wa kurudisha chenji.kupanda kwa sh200 nikuwaonea daladala ilitakiwa ipande sh 500/ kama zamani nauli ilikuwa 400 ukiongeza 500 tulipe 900/ nauli ya kwenda tu
Mataga tujulisheni hivi tupo uchumi wa kati au wa juu?Uchumi unapaa.
Tumeshaondolewa huko ila tutarudi kabla ya 2025.Mataga tujulisheni hivi tupo uchumi wa kati au wa juu?
Kwahyo sasa hivi tupo katika uchumi gani?Tumeshaondolewa huko ila tutarudi kabla ya 2025.
Hujui kwamba wanapunguza ukubwa wa kifurushiHivi kwann vocha za airtime hazipandi bei?
Au haziusiani na vita vya urusi na Ukraine?
Juzi nimepeleka nguo kwa fundi cherehani nae pia kapandisha,
Anasema hujasikia vita huko urusi?
Mafuta ya cherehani bei juu?
Inchi hii ishakuwa ya hovyo Sana.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Kwanini wafanyabiashara wasingetumia mbinu hizo za vocha kuliko kutuongezea bei za vitu kila kukicha?Hujui kwamba wanapunguza ukubwa wa kifurushi
Mfano Airtel zamani ukinunua kifurushi unapata cha dakika, chabdata na cha sms ila sasa vifurushi vinajitegemea
Yy Mwenyewe Ndio aliwambia wapandishe NauliWadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.
Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote.
Asanteni, naomba kuwasilisha
Mbona kuna baadhi ya bidhaa wamepunguza ukubwa/uzito.Kwanini wafanyabiashara wasingetumia mbinu hizo za vocha kuliko kutuongezea bei za vitu kila kukicha?
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Nauli haitakiwi kupanda zaidi ya 50 tsh kwa gari za abiria yan daladala kama suala ni kupanda kwa mafuta......nasema hivi kwa sababu ifuatayo mafuta yamepanda kwa sh 300 kwa litre 1 .kwa mfano daladala inatumia litre 150 kwa siku nzima maana yake ongezeko ni kama ifuatavyoWadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.
Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote.
Asanteni, naomba kuwasilisha
hata hiyo ndogo ilitakiwa owes 10,000Hata hiyi 500 ni ndogo sana, ilitakiwa iwe 1000 kabisa