Konde boy anapoteza pambano, wanasimba kapigeni kura jamani twitter

Konde boy anapoteza pambano, wanasimba kapigeni kura jamani twitter

Kamwaga kazubaa sana yule, ila kiuhalisia pale lazima tupigwe tu kwasababu zifutazo

[emoji117]Egypt ni Taifa lililoendelea kuliko Tz,hivyo basi idadi ya watu wenye simu janja ni lazima itakuwa kubwa kuliko sisi.Sambamba na hilo watumiaji wa mitandao wa twitter hapa bongo ni wachache sana ukinilinganisha na wale wa EGYPT, labda kama ingakuwa instagram [emoji23]

[emoji117]Al ahly ina fanbase kubwa kuliko Simba katika mitandao yote.

NB:Goli la miquisone ni bora mara mia zaidi ya lile la Afsha, ila ndohivyo mwenye nacho huongezewa.
Watanzania wote sisi tumezubaa ndo maana hakuna jambo letu lolote lililofanikiwa kwa jitihada zetu wenyewe.Ata Mbuga zetu tu za wanyama na mlima kilimanjaro zinapoingiaga kwenye mashindano mbali mbali ya vivutio asilimia kubwa ya kura zinapigagwa na watu wa mataifa mengine, sisi tupo tupo tu hata hatujui kinachoendelea.Kwenye mitandao kwenyewe tukogo busy kubishana ujinga zaidi kuliko mambo ya msingi.
 
Pelekeni insta hili bango
kuna wenye kazi zao huko simba admin kalala tu baada ya kustuliwa jana ka post dakika moja bila kutoa link matokeo tyake watu wana comment luis jose badala ya kwenda kwenye link,watu wanalipwa mshahara ila suala kama hili linawashinda
 
Back
Top Bottom