Konde boy anapoteza pambano, wanasimba kapigeni kura jamani twitter

Watanzania wote sisi tumezubaa ndo maana hakuna jambo letu lolote lililofanikiwa kwa jitihada zetu wenyewe.Ata Mbuga zetu tu za wanyama na mlima kilimanjaro zinapoingiaga kwenye mashindano mbali mbali ya vivutio asilimia kubwa ya kura zinapigagwa na watu wa mataifa mengine, sisi tupo tupo tu hata hatujui kinachoendelea.Kwenye mitandao kwenyewe tukogo busy kubishana ujinga zaidi kuliko mambo ya msingi.
 
Pelekeni insta hili bango
kuna wenye kazi zao huko simba admin kalala tu baada ya kustuliwa jana ka post dakika moja bila kutoa link matokeo tyake watu wana comment luis jose badala ya kwenda kwenye link,watu wanalipwa mshahara ila suala kama hili linawashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…