[emoji16][emoji16][emoji16] harmonise anapotea una akili kweli wewe !? Anapotea Nini Sasa !?
Mpaka Sasa ndiye msanii mwenye album Kali kuliko wasanii wote waliowahi kutoa album zao katika digital platform ,na ndiye msanii anaye trend mitandaoni , Pia ana ngoma Kali nyingi tu , hata hi vibaya licha ya kamba imetungwa katika muda mchache lakini bado Ni ngoma Kali Sana ambayo Inadhihirisha kwamba jamaa Ni talent,
Hivi unamjua Mtu ambaye anayepotea !? Mtu anaye potea niyule ambaye macho na masikio ya watu hawaya time nae tena lakini sio kwa harmonise nadhani mpaka dakika hii unaona jinsi anavyo zungumziwa iwe kwa mazuri au mabaya but kitendo cha watu kuacha shughuli zao na kumfuatilia it means jamaa ana impact kubwa ya ushawishi ktk jamii,, ingekuwa harmo ameshuka kisanaa WCB and co wasingekuwa Wana haha kumfanyia fitna ili apotee ,, Kwa mara nyingine tena WCB mmejaribu kufanya fitna ili dogo apotee lakini ime Punch imekula kwenu ..so endeleeni kupiga ramli zenu , [emoji16][emoji16][emoji16]