Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Nitumie kwanza hiyo video ndo nitatoa maoni yangu[emoji16]
 
Maisha usiyachukulie serious sana utakufa mapema[emoji23]
Wanaume mjiandae kisaikolojia maana ilo dudu la konde [emoji119][emoji119][emoji119]
Ama kweli Konde boy for everybody Shidoo shidoo shidooo
 
Mkuu unafuatilia vizuri mauzo ya Rayvany kweye social platform?
Wanapiga tu kelele bila kujua kitu. Ray amemzidi hadi Mond kwenye mauzo hapa recently. Yuko tops kwenye platforms za muziki za kupiga pesa.

Ajabu ni kwamba hata EP ya Zuchu imeishinda kimauzo album zima ya Tembo. Ndo utajua huyu jamaa hana management, shabiki zake wanajazana instagram tu umbeani ila kwenye kununua kazi zake na za wasanii wake, hawapo! Ndo maana kina Ibrah video zao zote hazikuti views video moja tu ya zuchu.

Majuzi wenzao wamesign deal ya Billions kusambaza kazi zao.

Aisee.
 
Maisha usiyachukulie serious sana utakufa mapema[emoji23]
Wanaume mjiandae kisaikolojia maana ilo dudu la konde [emoji119][emoji119][emoji119]
Ama kweli Konde boy for everybody Shidoo shidoo shidooo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sio mitazamo ndo ukweli kumbuka mondi ndo mzee wa kiki lakini mbona ndo anatamba sasa!subirini tu hapotei nawaambia time will tell
Kila mmoja wao Kati ya hao watapotea na kusahulika katika ulimwengu huu Kama mimi na wewe pia. Ila jambo la msingi waache alama isiyofutika, mm siongelei mambo ya uteam nachosema Kama kweli konde anatumia bangi na sembe itamgharimu siku za usoni gari likishakolea.
 
Mkuu unafuatilia vizuri mauzo ya Rayvany kweye social platform?
hayo mauzo ya kwenye social platform anayachukua yeye? Mkuu ni heri anayefanya kazi ya laki 3 analipwa nzima.....rayvanny hana hela mkuu mbona wazazi wake tunawajua na yeye Watu wanamjua
 
Back
Top Bottom