Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani inampoteza jumla, ni wabaridi sana na game kama hili lililojaa mikikimikiki haiwezi kasi yake.Hii Vita inazidi kumtoa Ali kiba kwenye reli asee!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
ChawaMwanzo alikuja vizuri Sana ila kadri siku zinavyosonga ndio anazidi kuharibikiwa roho inaniuma Sana harmo tutamkosa .Kiukweli uwepo wake muhimu Sana yeye ndio mtu ambaye at least anaweza kuwachalenge WCB ila anapoelekea sipo.
Mambo ya kuonesha dushe lake mitandaon?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Katika kitu ambacho nauhakika.Mwache ale tu kijana na hintiye wanajiweka kikahaba na kimitego tego aisee. Ila harmonize ana bolo yang aisee
Ruge hakua mshindan wa wasafiInabidi tuanzishe hashtag #BadilikaHarmo ,pengine atatusikia mashabiki zake
Unashindana na WCB ameshindwa Ruge mtu ambaye robo ya wasanii wote wa bongo fleva walioingia bifu na yeye walifeli ila WCB wameshinda .
Harmonize ajitathmini Sana Hawa watu sio watu wazuri.
[emoji16][emoji16][emoji16] hajui kitu huyu , kwahiyo Juma lokole na Aristotle Babu take Wana elimu kuliko jembe Ni jembe !? Unasubiri Nini kumpiga ngumi Mtu Kama huyo asiye weza ku reason out [emoji31][emoji31]hao watu kina nani mkuu unajua Jembe ni jembe ni nani? na anaelimu gani?, unajua Mjerumani manager wake anaelimu gani?
[emoji16][emoji16][emoji16]Kama unahitaji kazi njoo DM maana vijana wengi humu inaonekana hamna kazi
[emoji16][emoji16][emoji16]Wachafu koge mmeanzisha ugomvi wenyewe na kulalamika mnalalamika wenyewe aiseee
Kila jambo linataratibu zake msanii Harmonize asipobadilika anaelekea kujiharibia ktk tasnia yake ya muziki.
Wito kwa watu wake wakaribu wamshauri jinsi gani ya kutumia mitandao ya kijamii na jinsi gani ya kutengeneza kiki sababu kila uchwao anelekea kudrop katika fani, Harmo wa WCB sio huyu wa sasa kashfa nyingi,kazi hazina ubora ,michambo na mabifu na watu kila kukicha.
Tahadhari kwa sisi mashabiki wake tunaona mwisho mbaya kwake anatakiwa apate washauri na wasimamizi watakaomshauri na kumuelekeza nini afanye nini aache kulinda weledi wa tasnia yake.
Watanzania hawakawii kumchoka mtu mifano hai ipo mingi kwa wasanii wenzake, anatakiwa akumbuke alipotoka na aangalie alipo na anapokwenda.
Kikawaida katika nchi yenye kulinda tamaduni na ustaarabu ktk jamii kitendo cha kuonesha picha za utupu mitandaon ni cha fedhea kwa msanii mkubwa Kama yeye.
Kitendo cha kula kuku na mayai yake ni kudhalilisha wanawake na hakivumiliki, kitendo cha kutukana watangazaji na kuwapa vitisho kama alivyomfanyia Maimartha wa Jesse ni ulimbukeni na upungufu wamaarifa, kitendo cha kutengeneza lebo ya kusimamia wasanii halafu wasanii hao hawatoi nyimbo wala hawasikiki na wanavipaji ni kuua vipaji vya wasanii wetu.
Mimi shabiki namba moja wa Harmonize na nimechukizwa na mienendo yake, naomba abadilike bado tunampenda kushindana na WCB kutamuharibia wale watu hawawezekaniki wana nguvu na vipaji na washapiga hatua kubwa Sana .
Nikupe no utume wasapPm imegoma kutuma video
Or maybe ni hii tecno yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia kwanza Mmemuongezea Sifa kuu,mtoto wa watu kawa Gumzo,kila Mdada anataka kuiona Video,wengine wanasema kuiona tu Wameloa,Ana kitu Management ya Wasafi Combined[emoji1787][emoji1787]
Mpe huyo za uso, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima apotee? wao kama kina nani? Ridhiki anatoa Mungu......ukiona kuanzia uncle shamte,aristote,lukamba,uncle shamte, Sallam sk, babalevo na rayvanny wote wanamuandama mtu mmoja ujue wanaumia sana na jamaa.....
ukitaka kujua jamaa ni mkali hebu sikiliza Vibaya na nyamaza utajua harmonize anawaumiza sana....
Alafu unasema wewe shabiki wa Harmonise kweli inaandikwa hivo? Ila wasafi haujakosea......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachafu koge mmeanzisha ugomvi wenyewe na kulalamika mnalalamika wenyewe aiseee
Plz dea, hebu nitumie na mie nione bas.Mwache ale tu kijana na hintiye wanajiweka kikahaba na kimitego tego aisee. Ila harmonize ana bolo yang aisee
AmeeeeeeeenTukiachana na kuwa amebarikiwa chini ila Harmo anaimba bwana.
Jamaa anajua.