Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Mwanzo alikuja vizuri Sana ila kadri siku zinavyosonga ndio anazidi kuharibikiwa roho inaniuma Sana harmo tutamkosa .Kiukweli uwepo wake muhimu Sana yeye ndio mtu ambaye at least anaweza kuwachalenge WCB ila anapoelekea sipo.
Mambo ya kuonesha dushe lake mitandaon?😭😭😭😭
 
Ila siyo poa kumpost mwanaume mwenzako
Tena unapost chati zake duuh
Eee huo ni ushamba
 
Nasikia kwanza Mmemuongezea Sifa kuu,mtoto wa watu kawa Gumzo,kila Mdada anataka kuiona Video,wengine wanasema kuiona tu Wameloa,Ana kitu Management ya Wasafi Combined[emoji1787][emoji1787]
Smh...Hii dunia!!Kitu cha aibu kama kile watu wako busy kusifia harmonize kakosea na kajala ana makosa yake!ila watanzania huwaga ni wanafki watamgeuka tu likitokea jambo lingine!![emoji23].....mi namuona anabaki kukubalika bongo tu kwa anapoelekea ila internationaly atapotea
 
Ila siyo poa kumpost mwanaume mwenzako
Tena unapost chati zake duuh
Eee huo ni ushamba
Ukitka kujua tofouti ya mwanaume rijali mwangalia ray vany angalia kwa makini utagundua namaanisha nn
 
Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda.

Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na unga.
Mbona siku hizi vijana wengi tu wanapaka poda maana wengine wanasema zinawasaidia kupunguza chunusi usoni hivyo mie sioni cha ajabu kwa msanii kupaka poda maana unaweza kukuta anaenda location kushoot akipaka poda sura inakuwa nzuri hata kama amefanana na Harmorapa
 
Smh...Hii dunia!!Kitu cha aibu kama kile watu wako busy kusifia harmonize kakosea na kajala ana makosa yake!ila watanzania huwaga ni wanafki watamgeuka tu likitokea jambo lingine!![emoji23].....mi namuona anabaki kukubalika bongo tu kwa anapoelekea ila internationaly atapotea
Ni Upuuzi tu kuamini hivyo,kina Kim kardashian mfano kuna video yake ya ngono mpaka leo,Kila uchafu unaoujua,sembuse harmonize,hizo mistakes ni ndogo sana,sema wasanii wetu ma PR Wao wanakuwaga hovyo tu
 
Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda.

Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na unga.
Hii issue wengi watachukulia masikhara lakini ukweli ni kuwa hatua zisipochukuliwa mapema kumuokoa huyo jamaa basi shabiki zake wajiandae kustaajabishwa.
 
Back
Top Bottom