Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kwenye hii ishu wote ni wapuuzi tu sio wasafi wala kondegang. Huku ibra na harmonize kule kina rayvany wote wanatupiana vijembe na kutungiana nyimbo za mipasho. Ni kupenda kuongelewa tu hakuna kingine aliejirekodi na walopost wote akili sawa tu huwezo kumdhalilisha mwanaume mwenzio namna hoyo hawa machalii ustaa unawazuzua sana.
Wote wana ngoma zinatrend mtaani wanaacha kuzipa promo kazi zao wanakalia huu ushubwada hauna kichwa wala miguu.
Na harmonize aangalie sauti yake, aisee moshi unaharibu saut yake adhimu ana mashairi mazuri sana ila sauti inaelekea kumsaliti sahau kuhusu pumzi. Apunguze uraibu wa haya madude anaharibu sauti.