Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
Mimi shabiki wa harmonize ila lazima tuseme ukweli jamaa anapotea huwez shindana na watu waliokuzidi kila kitu ni bora atulie afanye mziki Kiki na kashfa zitamshusha.Lazima apotee? wao kama kina nani? Ridhiki anatoa Mungu......ukiona kuanzia uncle shamte,aristote,lukamba,uncle shamte, Sallam sk, babalevo na rayvanny wote wanamuandama mtu mmoja ujue wanaumia sana na jamaa.....
ukitaka kujua jamaa ni mkali hebu sikiliza Vibaya na nyamaza utajua harmonize anawaumiza sana....
Alafu unasema wewe shabiki wa Harmonise kweli inaandikwa hivo? Ila wasafi haujakosea......