wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Sory ndio nani huyo au mbunge wa wapiKwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda.
Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na unga.