Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Nyie ni halali Rayvan alie jamani sio [emoji533][emoji533] aliyonayo hamonaiz [emoji23][emoji23] wcb wakijichungulia kwenye zip zao wanalia kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaomba harmo ajengewe sanam liwekwe pale posta lile la posta litolewe litupweee
Kondeeeeee achaA [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Najua haya yote ni upepo hizo msg zake na picha zake za uchi,ila sizani kama ana kula poda ila bangi najua anavuta.
Tuwe wakweli tuache utimu wewe unaona anapoelekea jamaa ni kuzuri?wabongo wenyewe unawajua wengi wanafiki Kama wamemgeuka anko Magu hata 40 haijafika itakuwa hao chawa wake wakina hbaba na mwijaku dalili za kumkataa zishaanza kuonekana .
 
Jomba comments zako zinaonesha umekariri maisha ya wcb ya kiki bila kuelewa ni wakati gani na matukio gani wanatumia kama kiki, kifupi we hizi kiki umezijulia kwa hao hao WCB ila hukuelewa somo. Wale sio viazi waachie hiyo video alafu wasijue kwamba harmonize atapata umaarufu kipindi hiki, wanacholenga ni long term effect yani hizo video na hii kashfa zitaendelea tu kumuandama harmonize leo, kesho na kesho kutwa. Hio sio kiki ambayo yeye mwenye harmonize anaitaka ingawa ametoa wimbo kuzuga kwamba anautumia hii scandal kama kiki ya muziki. Unafikiri anapenda ulimwengu kuona na kujadili maumbile yake? Unafikiri wcb na harmonize hawajui huu umaarufu wa muda una gharama kubwa?
Gazeti refu mi shabiki maandazi tu watajua wenyewe!Ubongo wangu ushachoka!miye
 
Tuwe wakweli tuache utimu wewe unaona anapoelekea jamaa ni kuzuri?wabongo wenyewe unawajua wengi wanafiki Kama wamemgeuka anko Magu hata 40 haijafika itakuwa hao chawa wake kina hbaba na mwijaku dalili za kunikataa zishaanza kuonekana .
Kimziki kibongo bongo alipo si pabaya,ila hili la poda sizani kama anatumia.
 
Jomba comments zako zinaonesha umekariri maisha ya wcb ya kiki bila kuelewa ni wakati gani na matukio gani wanatumia kama kiki, kifupi we hizi kiki umezijulia kwa hao hao WCB ila hukuelewa somo. Wale sio viazi waachie hiyo video alafu wasijue kwamba harmonize atapata umaarufu kipindi hiki, wanacholenga ni long term effect yani hizo video na hii kashfa zitaendelea tu kumuandama harmonize leo, kesho na kesho kutwa. Hio sio kiki ambayo yeye mwenye harmonize anaitaka ingawa ametoa wimbo kuzuga kwamba anautumia hii scandal kama kiki ya muziki. Unafikiri anapenda ulimwengu kuona na kujadili maumbile yake? Unafikiri wcb na harmonize hawajui huu umaarufu wa muda una gharama kubwa?

Wanawake tumependa tumefurahishwa tutamsapoti hamo[emoji12]
 
Harmo hana mziki mzuri tena, han uwezo wa kumshawish msikilizaj w aiyola leo akamuelw anafanya mduara, mipasho na mda mwingi anajitetea tu , how come kwa mashabik wake ambao hatutak kusikia huu upuuzi kweny burudan zetu!?
 
Halafu wale WCB hawawezi ogopa Sana watu wenye umoja halafu wapo wengi na wanakujua undani wako lazima upotee
Lazima apotee? wao kama kina nani? Ridhiki anatoa Mungu......ukiona kuanzia uncle shamte,aristote,lukamba,uncle shamte, Sallam sk, babalevo na rayvanny wote wanamuandama mtu mmoja ujue wanaumia sana na jamaa.....

ukitaka kujua jamaa ni mkali hebu sikiliza Vibaya na nyamaza utajua harmonize anawaumiza sana....

Alafu unasema wewe shabiki wa Harmonise kweli inaandikwa hivo? Ila wasafi haujakosea......
 
Alafu hao wasafi wanajiharibia tu,wangeipotezea wangeonekna wa maana sana..
 
Inabidi tuanzishe hashtag #BadilikaHarmo ,pengine atatusikia mashabiki zake .unashindana na WCB ameshindwa luge mtu ambaye robo ya wasanii wote wa bongo fleva walioingia bifu na yeye walifeli il WCB wameshinda .
Harmonize ajitathmini Sana Hawa watu sio watu wazuri.
Wasafi wakiona mtu sio tishio hawashughuliki nae mfano mavocco ila ukiona hadi sallam anakosa raha na kujiandikisha unafiki ujue wanaumia sana....
 
Back
Top Bottom