Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Halafu wale WCB hawawezi ogopa Sana watu wenye umoja halafu wapo wengi na wanakujua undani wako lazima upotee
 
Hakuna cha long term effect wala shangazi yake short term effect kubalini mmepigwa bao atii, mlijua mtamdhalilisha imekua kinyume sasa hivi wanawake wanawashurutisha waume zao waongeze mshedede kama wa Harmonize achilia mbali wale wanaopiga hodi DM kwa Konde hehehe poleni team WACHAFU, mwambieni na huyo mfuga tambi kichwan aoneshe kindululu chake tulinganishe, [emoji23][emoji23][emoji23]
Si unaona tayari unataka kumlinganisha na wengine. Amber rutty nae alikuwa maarufu pilau lake lilipotoka, gwajima nae alikuwa maarufu sasa wao watoe alafu wasijue itazua taharuki?
 
Kajala kapima kaona hata hapa miezi sita sitafikisha hii ngoma siwezi icheza kakimbia. Mwenyewe.....

Ila mwanae anajiweza
Kajala nae sio wa mchezo nilisikiaga, kanyau alizamisha loote kwa kajala, na kanyau ana zigo la punda eti....mke wake alisemaga eti ana bor0 refu kama uzi 😂😂😂 ila kajala akalishughulikia
Bongo kuna mambo.
 
Inabidi tuanzishe hashtag #BadilikaHarmo ,pengine atatusikia mashabiki zake

Unashindana na WCB ameshindwa Ruge mtu ambaye robo ya wasanii wote wa bongo fleva walioingia bifu na yeye walifeli ila WCB wameshinda .

Harmonize ajitathmini Sana Hawa watu sio watu wazuri.
 
Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda.

Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na unga.
Muhimu connection ayo madawa atumie tu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naunga mkono hojaaa,
Mmakonde kajaaliwa na nasikia wanakata mauno hao balaaa, acha tu Paula alie wivu kwa mama ake maana alikua anajua kabisa mama anavyofaidi utamuu.

Aiiii jamani
Wcb wanajuta yaan Rayvan kachanganyikiwa mpaka katoa nyimbo anaimba kama saida karoli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom