Kondoa: Afisa Manunuzi amlalamikia Mkurugenzi kwa kutukana watumishi, asema ubabe wake umezidi

Kondoa: Afisa Manunuzi amlalamikia Mkurugenzi kwa kutukana watumishi, asema ubabe wake umezidi

Huyu bora aachr kazi ili awe huru. Amesema ukweli na kwa kujiamini kabisa lakini je nani atamlinda dhidi ya madhalimu haya?
 
Wakurugenzi na viongozi wengine wa aina hii waliolewa madaraka ni kikwazo cha maendeleo ya nchi. Kama kweli tunahitaji maendeleo ya kweli viongozi wa aina hii wawekwe pembeni.
 
Huyu bora aachr kazi ili awe huru. Amesema ukweli na kwa kujiamini kabisa lakini je nani atamlinda dhidi ya madhalimu haya?
Atalindwa na Anthony Mtaka.
Mtaka ni mnyoofu. Mtaka alimchana Waziri wa Elimu na ma V8
 
Mfumo na tabia zetu zimetuathiri. Mara nyingi tumejawa na unafiki na nidhamu ya woga. Hakika huyu afisa anastahili kupongezwa kama aliyoyasema siyo majungu. Tungekuwa Tanzania nzima na Afrika kwa ujumla tuna tabia ya kusema na kueleza mambo bila kuogopa na wanaolalamikiwa wakawa na tania ya kuvumilia basi tusingekuwa hapa tulipo. Tungekuwa mbali kimaendele!
 
Raha ya kufanya kazi kondoa ni kujipatia papuchi nyeupe za bure za kirangi na kula nyama ya mbuzi na kondoo kwa bei nafuu zaidi ya hapo kondoa ni pagumu kwa kila kitu. Ndugu zangu warangi wanapenda kupendeza lakini hawapendi kufanya kazi.
Upo Wapi? KUNYWA Hii
Umesema Kweli
 
Mkurugenzi anaitwa nani?
Tupate na maelezo ya mkurugenzi kwanza ili tuwe fair kwa pande zote.
Lakini nijuavyo maafisa manunuzi, ugavi, wahasibu, wekaazina wasemavyo huko mitaani na mashuria ya umma kuna namna
 
Hapo hakuna team work,ni team majungu !! Kati yao mmoja atakuwa ni mzalendo na mwingine ni ant -uzalendo. Ila wamesahau tulikubaliana kila mmoja ale kwa kamba yake, kwa kuzingatia urefu wa kamba yake. Kuna mmoja anataka awe anavimbiwa hapo bila shaka!!
Mbona halimashauri zaletewa hela?
 
Soon, mtasikia kapata UKURUGENZI WA HALMASHAURI. Hapo kaongea sina hakika kama kaongeza chumvi, uzuri aliyekuwa anachanwa LIVE alikuwemo inisaidi ze rumu...🤣😂
 
Back
Top Bottom