rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,420
dini nyingine bwana, soon huyo kondoo ataanza kuabudiwa
mkuu dini zingine ushetani ushetani kwa kwenda mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dini nyingine bwana, soon huyo kondoo ataanza kuabudiwa

Baada ya siku 40 atapaa kuelekea mbinguni kama nabii Eliya!!

Baada ya siku 40 atapaa kuelekea mbinguni kama nabii Eliya!!

Sasa mjomba, mbona unakurupuka? kila kitu kimeandikwa hapo, na hata maana ya neno imetajwa hapo juu, wewe unazuka ghafla unaanza kulaumu ushirikina nk,, inakuwaje mkuu? Ushagonga viloba vya fasta fasta au?

hivi kila kitu kikifananishwa itakuwaje-mi kwangu huyo kondoo hana maneno yoyote ya kiarabu,huo ni mtazamo wao tu

Mbona kuna Nguruwe wengi tu wanazaliwa na aya za Koran na sisi wala hatushituki?

Mnamkumbuka shehe sharifu alivyoabudiwa?
kwa hiyo hoja yako ni nini hasa?mkuu dini zingine ushetani ushetani kwa kwenda mbele
Mbona kuna Nguruwe wengi tu wanazaliwa na aya za Koran na sisi wala hatushituki?
Na wasiwasi na uwezo wako kijana!
Hahahaha! Hapa umenena baba mchungaji! Ubarikiwe!Mbona kuna Nguruwe wengi tu wanazaliwa na aya za Koran na sisi wala hatushituki?
Hiyo ni rangi tu ya tofauti yaani doa, haina uhusiano wowote, hata kama hilo neno ni la kiarabu itakuwa imetokea coincidence tu...msikauwe bure ka mwana kondoo ka watu, punguzeni ushirikina kiimani.(mwenye kujua imeandikwa nini atujuze)
Sio ushirikina hayo ni mambo ya MUNGU tena kumbuka huu ni mwezi mtukufu