Kongamano la CHADEMA 10 Desemba 2022 Iringa

09 December 2022
Mlimba, Makambako
Tanzania

Mlimba Makambako macho yote Iringa

Kongamano la wewe mwana CHADEMA tarehe 10 December 2022 Iringa, Tanzania
Mmetisha Makananda....Chapa mwizi kimyakimya...
 
8 December 2022

CHADEMA JIMBO LA MLIMBA YAZIDI KUJIIMARISHA


MIAKA 61 YA UHURU MAWAZIRI WA CCM WANAGARAGAZWA NA UMEME

 
Mkuu update....nasikia Iringa imetetemeka
 
10 December 2022
Iringa, Tanzania

VIONGOZI WALIVYOWASILI KUHUDHURIA KONGAMANO : MBILINYI aka SUGU, HECHE, KIWANGA ...

 
10 December 2022

Hotuba ya kiongozi CHADEMA mkoa wa Iringa kamanda Mungai


Sababu ya ughali wa maisha chini ya utawala wa CCM, ufanisi mdogo sana wa bandari zetu Tanzania, bandari za Dubai wanawe nini tatizo Banadari zetu, tozo na kodi kubwa za serikali ya CCM ni kikwazo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…