Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Karibuni katika kongamano la CHAPUTA 2025, kongamano litakalokutanisha viongozi waandamizi wa chama na wanachama watiifu. Kauli mbiu ya kongamano ni Kiganja ni furaha yangu.
Magwiji mbalimbali wa CHAPUTA watawasilisha mada kuhusu uzoefu wao chamani, mafanikio na changamoto zao bila kusahau way forward.
Kongamano litafanyika kwenye uzi huu.
Kiingilio ni kadi ya uanachama, tafadhali ikiwa wewe si member achana na huu uzi. Kucomment chochote ni kukubali kuwa CHAPUTA ni lidude likubwa nawewe ni mfuasi wa siri.