Kongamano la Dunia la Maadili katika michezo

Kongamano la Dunia la Maadili katika michezo

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Vijana na Michezo wa nchini Seychelles, Ralph Kelvin Jean-Louis (wa pili kulia) tarehe 21 Februari, 2023 jijini Riyadh, Saud Arabia katika Kongamano la Dunia la Maadili katika michezo.

20230222_124255.jpg
 
Back
Top Bottom