Kongamano la Katiba Mpya la BAWACHA latikisa Jiji la Mbeya , watu wengi kama utitiri

Unajua maana ya utitiri lakini, au ndio yaleyale ya "jiji zima limetikisika"?
 
Unajua watu ambao wanakusanyika kwa gharama zao nitofauti na wale ambao wanakusanyika kwa kupelekewa malori na ahadi za vitu kama kutakua na wali maharage,mikopo itakuwepo na fulana pamoja na kofia zitatolewa bure.
Hao wamekuja kwa hisia zao.
Jipe moyo.
 
Mungu ibariki Chadema
Ni chama kilichopendekezwa na Mungu kuja kuwakomboa WATANZANIA.
Siongei ushabiki,
Nakuhakikishia kuwa ,katika hali ya kawaida chama hiki kinaviziwa kuuliwa na CCM,ikisaidiwa na mihimili yote ya dola pamoja na idara zake,hususa vyombo vya dola,na vile vyenye kuheshimika kabisa hapa Duniani.
Lakini chama ndo kinazidi kusambaa tu.
Hizi sio Tabia za kibinadamu, ni Tabia zenye baraka ya Mungu.
Mungu akikuinua hata wakushushe vipi watashindwa tuu..
Hiki chama imeshindikana kukiua,imebaki wanakufa wao.
 
Wanakufa wao...cheki line ya juu walivopukutika ila wanaoteswa na kufungwa hata kupigwa mitutu bado wanaishi. Hapa kuna funzo ila Mungu amewapa upofu mpaka unabii utimie
 
Chapeni kazi wakuu, huku tukiendelea kumuunga mkono Mama katika juhudi zake za kufuta ushamba kwenye brains za watanzania uliopandikizwa kwa miaka 5 iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…