Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Give us time chiefSioni anachofuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Give us time chiefSioni anachofuta
Too lateGive us time chief
[emoji38][emoji38][emoji38]Hao ni raia wema waliojigharimia wenyewe,hakuna posho wala usafiri.
Ingekuwa ccm watumishi,wanafunzi na makundi mbalimbali wangesafirishwa kujaza uwanja
Awali kulitokea taarifa kwamba Polisi wamezingira ofisi za kanda , lakini baadaye taarifa hiyo ilikanushwa , hivyo kongamano hilo liliendelea kama ilivyopangwa na kuhudhuriwa na wakina mama wengi mno !
CHADEMA NA WANANCHI , CCM NA POLISI
View attachment 1992380
View attachment 1992394
Wananchi wameamua. Mwaka huu hawadanganyiki.Awali kulitokea taarifa kwamba Polisi wamezingira ofisi za kanda , lakini baadaye taarifa hiyo ilikanushwa , hivyo kongamano hilo liliendelea kama ilivyopangwa na kuhudhuriwa na wakina mama wengi mno !
CHADEMA NA WANANCHI , CCM NA POLISI
View attachment 1992380
View attachment 1992394
Chama kinazidi kushamiri kama mchicha kwenye chemi chemi za majiKweli CHADEMA ni kiboko cha viongozi wa CCM waliopanga njama chafu kukitokomeza, lakini ndiyo kwanza kinazidi kuimarika pamoja na mashambulizi ovu ya miaka 6 ya awamu za 5 na 6 za CCM dhidi ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA).
Ni kama viwanda tu. Vyerehani vinne tu vinatoshaHivi watu wengi mno, wanaanzia 7 mpaka 11 hivi?
hehehehe....Jamaa weww khaa!Ukisikia wanyonge ndio Hawa sasa,sio wanyonge halafu Wana vitambi.
Yule mcheza mziki kama anang'atwa na siafu a.k.a second speaker akiona hivi anajisikiaje?Awali kulitokea taarifa kwamba Polisi wamezingira ofisi za kanda , lakini baadaye taarifa hiyo ilikanushwa , hivyo kongamano hilo liliendelea kama ilivyopangwa na kuhudhuriwa na wakina mama wengi mno !
CHADEMA NA WANANCHI , CCM NA POLISI
View attachment 1992380
View attachment 1992394
Hiki ni zaidi ya chama cha siasa.Hiki chama bana!
Kinapitia mateso kibao,
Kesi kila kona,
Watu wake wanakamatwa kila siku.
Hakina hela za kuwapa watu wake,hakuna ubwabwa,hakuna kapelo wala fulani.ukitaka hivyo jinunulie,na watu kweli wananunua.
Mwenyekiti wake anatuhumiwa kuwapa watu watatu pesa Ili wakate miti kutoka Moro mpaka Iringa,
Anatuhumiwa kwa Ugaidi wa kutaka kuua viongozi,(Sabaya)
Anatuhumiwa kutaka kuchoma Sheli nchi nzima.
Hakiruhusiwi kufanya mikutano.
Baadhi ya viongozi wake wananunuliwa na kukiacha.
Lakini watu wanakipenda,wanakomaa nacho hivyohivyo.
Aisee ukisikia mahaba ndo haya sasa.
Sio wengi tu, bali ni utitiri😂😂😂Hao ndo wengi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pale ZuZU roho inaumia kwa wivu wa matyako wazi!Hao kadhaa ndio wengi mno?
Sugu!Pale ZuZU roho inaumia kwa wivu wa matyako wazi!View attachment 1992940
HakikaWatanzania wengi tunaugua ugonjwa wa Woga na Hofu isiyo na msingi hivyo tunaogopa kuunga mkono Haki na Usawa.
Huwa tunapenda kuungana na Wababe na na Madhulumati tukijiaminisha kuwa kuwa upande wa Wababe ni salama kwetu na familia zetu hata kama Wababe hao pia ni Madhulumati.
Kisha kutwa kucha tuko kwenye nyumba za ibada kumtukuza Mungu wa Haki asiyependa Dhulma.
Shetani na pepo la Unafiki huenda makao yake makuu yamehamia humu nchini!!
Tusipojirekebisha kizazi chetu siku yaja kitatoweke duniani!!
Haki hulisimamisha Taifa.
Ndiyo. "CHADEMA is in the peoples' hearts".Hiki chama bana!
Kinapitia mateso kibao,
Kesi kila kona,
Watu wake wanakamatwa kila siku.
Hakina hela za kuwapa watu wake,hakuna ubwabwa,hakuna kapelo wala fulani.ukitaka hivyo jinunulie,na watu kweli wananunua.
Mwenyekiti wake anatuhumiwa kuwapa watu watatu pesa Ili wakate miti kutoka Moro mpaka Iringa,
Anatuhumiwa kwa Ugaidi wa kutaka kuua viongozi,(Sabaya)
Anatuhumiwa kutaka kuchoma Sheli nchi nzima.
Hakiruhusiwi kufanya mikutano.
Baadhi ya viongozi wake wananunuliwa na kukiacha.
Lakini watu wanakipenda,wanakomaa nacho hivyohivyo.
Aisee ukisikia mahaba ndo haya sasa.
Hongera wanawake CDM Mbeya nyie ni mashujaa na mnaonesha mfano wa kuigwa.Awali kulitokea taarifa kwamba Polisi wamezingira ofisi za kanda , lakini baadaye taarifa hiyo ilikanushwa , hivyo kongamano hilo liliendelea kama ilivyopangwa na kuhudhuriwa na wakina mama wengi mno !
CHADEMA NA WANANCHI , CCM NA POLISI
View attachment 1992380
View attachment 1992394