Kongamano la Katiba Mpya la BAWACHA latikisa Jiji la Mbeya , watu wengi kama utitiri

Hao ni raia wema waliojigharimia wenyewe,hakuna posho wala usafiri.
Ingekuwa ccm watumishi,wanafunzi na makundi mbalimbali wangesafirishwa kujaza uwanja
 
Hao ni raia wema waliojigharimia wenyewe,hakuna posho wala usafiri.
Ingekuwa ccm watumishi,wanafunzi na makundi mbalimbali wangesafirishwa kujaza uwanja
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kweli CHADEMA ni kiboko cha viongozi wa CCM waliopanga njama chafu kukitokomeza, lakini ndiyo kwanza kinazidi kuimarika pamoja na mashambulizi ovu ya miaka 6 ya awamu za 5 na 6 za CCM dhidi ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA).
 
Wananchi wameamua. Mwaka huu hawadanganyiki.

Madhara na athari za utawala wa kidikiteta qa Magufuli yamepelekea mabadiliko makubwa sana kwenye fikra za watanzania
 
Kweli CHADEMA ni kiboko cha viongozi wa CCM waliopanga njama chafu kukitokomeza, lakini ndiyo kwanza kinazidi kuimarika pamoja na mashambulizi ovu ya miaka 6 ya awamu za 5 na 6 za CCM dhidi ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA).
Chama kinazidi kushamiri kama mchicha kwenye chemi chemi za maji
 
Yule mcheza mziki kama anang'atwa na siafu a.k.a second speaker akiona hivi anajisikiaje?
 
Hiki ni zaidi ya chama cha siasa.
 
Watanzania wengi tunaugua ugonjwa wa Woga na Hofu isiyo na msingi hivyo tunaogopa kuunga mkono Haki na Usawa.

Huwa tunapenda kuungana na Wababe na na Madhulumati tukijiaminisha kuwa kuwa upande wa Wababe ni salama kwetu na familia zetu hata kama Wababe hao pia ni Madhulumati.

Kisha kutwa kucha tuko kwenye nyumba za ibada kumtukuza Mungu wa Haki asiyependa Dhulma.

Shetani na pepo la Unafiki huenda makao yake makuu yamehamia humu nchini!!

Tusipojirekebisha kizazi chetu siku yaja kitatoweke duniani!!

Haki hulisimamisha Taifa.
 
Hakika
 
Ndiyo. "CHADEMA is in the peoples' hearts".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…