Kongamano la Katiba Mpya lililovurugwa na Polisi Mwanza, Kufanyika Jumatano 21/7/2021

Kongamano la Katiba Mpya lililovurugwa na Polisi Mwanza, Kufanyika Jumatano 21/7/2021

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na CHADEMA .

Kwa wote watakaohudhuria ni muhimu sana kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona

Kumekucha_-Mwanza(1).jpg

=====
Maandalizi yote yamekamilika , Viti vimepangwa kwa kufuata maelekezo ya WHO

Maandalizi_ya_Kongamano_la_#KatibaMpya_Mwanza_yamekamilika_kwa_100%,_Tukutane_kesho_TOURIST_HO...jpg

Kurushwa LIVE !

Kongamano_la_Katiba_Mpya_Mkoani_Mwanza_litakuwa_LIVE_youtube_Chadema_Media_na_Facebook_Chadema...jpg
 
Pia ni vzr kuanza mazoezi ya mbio na ikibidi kwenda na mask za kujikinga na mabomu ya machozi, aka CCM proof!!
 
hivi hata mkipewa hiyo katiba mpya mnategemea muifanyie nini maana hatuko tayari kukabizi taifa kwa machizi kama nyie mtatuangamiza kabisa tuachieni amani yetu
Karibu kwenye kongamano , nitahakikisha unapewa mic ili utoe dukuduku lako , chadema haina ubaguzi
 
Karibu kwenye kongamano , nitahakikisha unapewa mic ili utoe dukuduku lako , chadema haina ubaguzi
siwezi kuingia kwenye genge la kihuni kama hilo yapo makongamano ya kwenda siyo hilo unampa mtu kama mdude aongee yaani hao ndiyo mmeona viongozi na walioshindwa kuhubiri wakakimbilia siasa mwisho wanaenda kuitwa vidole vya matakomahabusu siwezi huo ujinga
 
hivi hata mkipewa hiyo katiba mpya mnategemea muifanyie nini maana hatuko tayari kukabizi taifa kwa machizi kama nyie mtatuangamiza kabisa tuachieni amani yetu
Wewe ambaye unashindwa kuandika hata sentensi moja ya Kiswahili, unaamini tayari umekwishakuwa na akili ya kuhoji?

Elimu ya watu wazima EWW ilifutwa lakini unaweza kupata sehemu unayoweza angalao kufundishwa kusoma, kuandika na kuhesabu.
 
hapo tu unaonyesha ni jinsi gani ulivyo bwabwa ndiyo nini hiyo?
Kwa sababu upeo wako ni mdogo huelewi ni nini huelewi!! Mungu akusaidie upate hekima japo ndogo sana ili angalao uweze kutafuta ulichopungukiwa.
 
Kwa sababu upeo wako ni mdogo huelewi ni nini huelewi!! Mungu akusaidie upate hekima japo ndogo sana ili angalao uweze kutafuta ulichopungukiwa.
sibishanagi na mashoga sioni hata hoja yako inamaana gani kakojoe ukalale kima weee
 
Back
Top Bottom