Kongamano la Katiba Mpya lililovurugwa na Polisi Mwanza, Kufanyika Jumatano 21/7/2021

Kongamano la Katiba Mpya lililovurugwa na Polisi Mwanza, Kufanyika Jumatano 21/7/2021

Kwa sababu upeo wako ni mdogo huelewi ni nini huelewi!! Mungu akusaidie upate hekima japo ndogo sana ili angalao uweze kutafuta ulichopungukiwa.
yaani mpaka sasahivi huoni ulicho kiandikakama kiko sawa? kweli kupigwa nyuma kumekuathirisana acha huo mchezo akili irudi sawasawa
 
Kwa sababu upeo wako ni mdogo huelewi ni nini huelewi!! Mungu akusaidie upate hekima japo ndogo sana ili angalao uweze kutafuta ulichopungukiwa.
eti lime edit kampikie mumeo huko huwezi kubishana na wanaume
 
hivi hata mkipewa hiyo katiba mpya mnategemea muifanyie nini maana hatuko tayari kukabizi taifa kwa machizi kama nyie mtatuangamiza kabisa tuachieni amani yetu
Wewe sio sisi.Katiba mpya itapatikana wewe na Mimi twaweza kuwa tumekufa kwa corona.
 
yaani mpaka sasahivi huoni ulicho kiandikakama kiko sawa? kweli kupigwa nyuma kumekuathirisana acha huo mchezo akili irudi sawasawa
Mwendawazimu hata atukane vipi, anasamehewa kutokana na uwendawazimu uliompata.

Kama umgonjwa, Mungu akujalie uponyaji. Kama ni mzima lakini unajifanya mwendawazimu, laana ya Mingu iishi nawe na kizazi chako.
 
siwezi kuingia kwenye genge la kihuni kama hilo yapo makongamano ya kwenda siyo hilo unampa mtu kama mdude aongee yaani hao ndiyo mmeona viongozi na walioshindwa kuhubiri wakakimbilia siasa mwisho wanaenda kuitwa vidole vya matakomahabusu siwezi huo ujinga

Kama ukoko huo uliokujaa kichwani unakutuma kusema uliyosema, nakubaliana nawe - usiende! Lakini nikukosoe - taifa ni zaidi ya mdude! Ni zaidi ya wewe au mimi! Taifa ni zaidi ya Chadema na CCM. Maneno uliyotoa hayajengi!!
 
hivi hata mkipewa hiyo katiba mpya mnategemea muifanyie nini maana hatuko tayari kukabizi taifa kwa machizi kama nyie mtatuangamiza kabisa tuachieni amani yetu
Hata hao waliopo sasa, katiba mpya itawaongoza kufanya vizuri tofauti na sasa
 
Mwendawazimu hata atukane vipi, anasamehewa kutokana na uwendawazimu uliompata.

Kama umgonjwa, Mungu akujalie uponyaji. Kama ni mzima lakini unajifanya mwendawazimu, laana ya Mingu iishi nawe na kizazi chako.
ungekuwa sawa unge edit? shoga wewe
 
Sasa hivi Corona imepamba moto nyie mnaitisha mikusanyiko mikubwa isiyokuwa na maana wala tija.
Hivi ile sera ya lock down iliishia wapi? Au ndo ilikufa kifo cha mende mkaja na hii ya kulazimisha uchanjwaji?!
 
Kama ukoko huo uliokujaa kichwani unakutuma kusema uliyosema, nakubaliana nawe - usiende! Lakini nikukosoe - taifa ni zaidi ya mdude! Ni zaidi ya wewe au mimi! Taifa ni zaidi ya Chadema na CCM. Maneno uliyotoa hayajengi!!
Ukishaona jina la iboya.usichangie
Analazimisha kila mtu awe na fikra za kikada
 
Watalaam wetu wa afya hawataki mikusanyiko ya watu katika kipindi hiki cha delta coronavirus. Social distancing ya delta coronavirus ni umbali wa mtu na mtu usiopungua mita 10. Polisi kama usalama wa raia lazima wasimamie utekelezaji wa masharti haya ili kulinda usalama wa afya za raia wao.
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na CHADEMA .

Kwa wote watakaohudhuria ni muhimu sana kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona

View attachment 1860710
Hawa wamepima maji kwa mguu, Ila angalizo tu, Rais huwa hajaribiwi na kiti kilisema msimjarib, na yy na magu ni kitu hiki[emoji16][emoji16][emoji16] naona mbowe ameona maji yanaweza kusongewa ugari, ila baba jiandae usije kukosa mguu ukasema nilikuwa napigania katiba...
 
Wananchi_wote_watakaohudhuria_kongamano_la_#KatibaMpya_kesho_Julai_21,_2021_Mkoani_Mwanza_mnat...jpg
 
Back
Top Bottom