Kongamano la Katiba Mpya lililovurugwa na Polisi Mwanza, Kufanyika Jumatano 21/7/2021

Kongamano la Katiba Mpya lililovurugwa na Polisi Mwanza, Kufanyika Jumatano 21/7/2021

Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na CHADEMA .

Kwa wote watakaohudhuria ni muhimu sana kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona

View attachment 1860710

=====
Maandalizi yote yamekamilika , Viti vimepangwa kwa kufuata maelekezo ya WHO

View attachment 1861263
Katiba mpya itakuwepo aidha Wananchi wakitaka au CCM wakiamua. Ninyi wengine ni wapiga kelele tu kwasababu hamna la kufanya!!!
 
 
Kongamano_la_Katiba_Mpya_Mkoani_Mwanza_litakuwa_LIVE_youtube_Chadema_Media_na_Facebook_Chadema...jpg
 
hivi hata mkipewa hiyo katiba mpya mnategemea muifanyie nini maana hatuko tayari kukabizi taifa kwa machizi kama nyie mtatuangamiza kabisa tuachieni amani yetu
Mwl. Nyerere aliwahi kusema, "...I can't let my country go to the dogs...!" Ahahahahahhhha, Mwl. Nyerere buana!!!
 
Wakikaidi wapigwe tu... Hakuna namna nyingine, wapigwe kweli kweli. Huku sie tutachanga pesa na damu
 
Back
Top Bottom