Kongamano la Kitaifa la Kiongozi wa Dini kuombea Uchaguzi kufanyika 24/08/2020, mgeni rasmi atakuwa Rais Magufuli

Mkuu tindo ,kila nikiitafuta idadi ya wapiga kura kwenye tovuti ya NEC,sipati. Hiyo idadi iko wapi mkuu?
 
Kwenye sehemu ya Takwimu za Wapiga kura kupo tupu,kazi inaendelea. Kazi gani?
 
Mkuu tindo ,kila nikiitafuta idadi ya wapiga kura kwenye tovuti ya NEC,sipati. Hiyo idadi iko wapi mkuu?

Wametangaza kwenye mkutano zaidi ya mmoja, hawezi kuiweka maana wanajua itazua querries. Lakini lengo hasa ni kuhakikisha wanamtangaza Magufuli kwa 90%+. Hayo maombi yanayoendeshwa ni kwa kuwa wanajua nini watafanya. Hivyo wanajifanya kama wacha Mungu ili kuwazubuisha wananchi. Nimesema kwenye post zaidi ya moja, iwapo wapinzani watasimama kuhakikisha mgombea halali anatangazwa, ni lazima machafuko yatokee yatakayopelekea umwagikaji wa damu.
 
Mara nyingine wamwite mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi au uchawi sijui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…