Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
Sure [emoji106]Mungu hawawezi kusikiliza maombi ya watu wanafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure [emoji106]Mungu hawawezi kusikiliza maombi ya watu wanafiki.
Mkuu tindo ,kila nikiitafuta idadi ya wapiga kura kwenye tovuti ya NEC,sipati. Hiyo idadi iko wapi mkuu?Halafu viongozi wa dini wanaitisha kuombea amani nchi, huku tume ina idadi ya wapiga kura ya kubumba. Watanzania tunakaribia 60m. Inawezekana vipi 29m wawe wamejiandikisha kupiga kura? Ni kweli kila watanzania wawili mmoja kajiandikisha kupiga kura?
Ni kweli nusu ya watanzania wanamiaka 18+, huku walio chini ya miaka 18 ni sawa kabisa na walio juu? Kwa akili ya kawaida tu hili linawezekana? Katika mazingira ambayo tume wana idadi ya wapiga kura ya kubumba wataweza kutangaza matokeo ya kweli?
Kwenye sehemu ya Takwimu za Wapiga kura kupo tupu,kazi inaendelea. Kazi gani?Halafu viongozi wa dini wanaitisha kuombea amani nchi, huku tume ina idadi ya wapiga kura ya kubumba. Watanzania tunakaribia 60m. Inawezekana vipi 29m wawe wamejiandikisha kupiga kura? Ni kweli kila watanzania wawili mmoja kajiandikisha kupiga kura?
Ni kweli nusu ya watanzania wanamiaka 18+, huku walio chini ya miaka 18 ni sawa kabisa na walio juu? Kwa akili ya kawaida tu hili linawezekana? Katika mazingira ambayo tume wana idadi ya wapiga kura ya kubumba wataweza kutangaza matokeo ya kweli?
Mkuu tindo ,kila nikiitafuta idadi ya wapiga kura kwenye tovuti ya NEC,sipati. Hiyo idadi iko wapi mkuu?