Kongamano la Mwamposa Arusha, naombeni ushauri wa biashara ya kufanya

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
Habarini,

Nimepata kibanda (eneo la biashara) katika kongamano la Mwamposa litakaloanza siku ya Alhamisi - Jumamosi katika viwanja vya Kisongo Magereza.

Bidhaa gani zipo hot sana niweze kucheza na hii fursa? Karibuni wenye uzoefu na hii kitu.

Ahsanteni.
 
Maji aisee kwasababu wanaambiwa inua maji tuyaombee hivyo inawz kua fursa
 
Vinywaji baridi na chakula

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…