Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

Hebu tulieni tuijenge nchi...siasa 2025 na mtatandikwa tena kwa kishindo.
 
Tunataka waboreshe katiba yao kwanza ndo waje ya Taifa. MFANO ya CHADEMA ni ya kidikteta au mnataka katiba iwe kama ya CHADEMA @@@@@😄😄😄
Watanzania wameamua, wache wafanye yao.
 
Hahaha, kafu naona mnamchezea Simba Sharubu[emoji3]
 
Back
Top Bottom