Kongo DRC wauze Goma kwa TANZANIA, Kisha sisi TANZANIA tushughulike na hao M23, is very simple

Kongo DRC wauze Goma kwa TANZANIA, Kisha sisi TANZANIA tushughulike na hao M23, is very simple

Hii nchi imejaa matahira sn tz ina uchumi gani wa kupgana iyo vita halafu jw wana siraha gn za maana kuizidi south africa mwehu wewe
Kwa lugha nyingine unaunga mkono Kongo kuvamiwa?aisee we choko kama ni Mtanzania kweli ulaaniwe popote ulipo Mbwa wewe
 
Kwa lugha nyingine unaunga mkono Kongo kuvamiwa?aisee we choko kama ni Mtanzania kweli ulaaniwe popote ulipo Mbwa wewe
Choko ni wewe na familia jikuma wewe ni wp nimesema naunga mkono congo kuvamiwa unafirwaa nini ww msengerema wewe aliyelaaniwa ni wewe na familia yako shetani ww unakurupuka tu yan jf nowdays imejaa machoko na vichwa uji kama sjui umetokea wp unakurupuka tu mi kukosoa uwezo wa jw ni ku support congo kuvamiwa unatiwa na popobawa ww
 
Najiuliza Kila Rais hapo Congo ameshindwa kabisa kumaliza hilo gogoro...Naamini Wazungu wanafsnya haya mambo sasa kama Tshekedi anajua hivyo kwanini asiungane na Russia wamsaidia Training na Silaha kali halafu aje hapa Tz aombe wastaafu ateue Maj General wetu mmoja mstaafu kama mshaauri wake lakini kimtindo ampe mamlaka ya Kijeshi mana Jeshi ni Order anyooshe mambo hapo...
 
Watu wa kongo na goma wakubali kuwa watanzania na Kisha goma iuuzwe kwa TANZANIA Kisha Tanzania imalize show mara moja kibabe sana

Kisha JW iingie mzigon kupambana na hawa wahuni
Hamuwezi kutoboa mbele ya Kagame broo. Hilo ni kundi lake la Ŵatusi wa DRC analotumia kuchuma mali huko..

ASILI YA KUNDI LA WAASI LA M23

The majority of the commanders and rank-and-file of the M23 were drawn from Congolese communities of Rwandan origin, mostly from Tutsi areas of North Kivu. The M23 grew out of the CNDP, and most of its important figures had been involved with previous armed groups, either in military or political terms.
 
Amani iwe kwenu

Nimewaza mbali sana

Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu

Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana

Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu

Watu wa kongo na goma wakubali kuwa watanzania na Kisha goma iuuzwe kwa TANZANIA Kisha Tanzania imalize show mara moja kibabe sana

Kisha JW iingie mzigon kupambana na hawa wahuni

Very simple

LONDON BOY
Ndgu yangu sometimes usipende kuchukulia matatizo usiyoyajua kirahisi rahisi??!!! Yatakuja kukutokea puani hutoamini macho Yako. Kila mara watu mbali mbali waliofika kwenye mission yenyewe ama watalaamu wa maswala ya kijeshi wanakwambia vita ya Congo sio ya M23 na serikali ya Congo tu.

Kiufupi congo anashambuliwa na ma giant ya Dunia hii sasa unavyodhani kama ungekuwa ni wewe ungevishinda vita ya namna hiyo???????????????
 
Amani iwe kwenu

Nimewaza mbali sana

Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu

Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana

Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu

Watu wa kongo na goma wakubali kuwa watanzania na Kisha goma iuuzwe kwa TANZANIA Kisha Tanzania imalize show mara moja kibabe sana

Kisha JW iingie mzigon kupambana na hawa wahuni

Very simple

LONDON BOY
A short sighted mind argument.

Je, umeshatafiti kwa kina ili kujua kiini hasa Cha mapigano hayo yanayoendelea huko Goma?

Kwa taarifa yako:
Raia wengi sana wa Ukraine watakuwa wapo tayari kukubali kuivunja nchi yao ili wajiunge na kuwa sehemu ya nchi ya Marekani na kuwa Jimbo la 51 la nchi hiyo ya Marekani kuliko kukubali kuwa raia wa nchi ya Urusi ambayo ni majirani zao wanaopakana nao mpaka mmoja. Watu wa Ukraine kamwe hawapo tayari kabisa kuwa Raia wa nchi ya Urusi.
Do you know Why?
 
Wazo lako nalikubali Kwa sehemu lakini ningelikubali asilimia 100 kama tungekuwa tunachimba madini Sisi binafsi sio kubnafsisha Kwa barric,,Anglo ashant na wapuuzi wengine WA kinyonyaji...Kwa sababu ya viongozi WA kiafrika kuwa vibaraka vipofu WA wazungu ndio sababu hata tungekuwa na crude oil hatuwezi kuendelea....Kongo imejaa viongozi wasiojitambua waliofanana na wanawake dhaifu....Hawana mipango wanategemea kusaidiwa Tu...Siipendi Rwanda na ndio nchi pekee ikipigana na Tanzania nitaenda vitani tayari hata kufa Ila nchi nyingine yoyote ikiingia vitani na Tz nitakuwa mkimbizi mapema kabisa sitotaka hata kuumia...
 
Kwahiyo misri ni jeshi bora kuliko south?
Misri ina jeshi kubwa na lenye nguvu kuliko jeshi lolote Afrika na Arabuni. Na kwa dunia nzima inashika namba 15 kwa sasa!

EGYPTIAN MILITARY
Egypt's military is the largest in the Middle East and Africa. It is considered one of the most powerful armies in the world.

STRENGTH
The Egyptian Armed Forces include the Egyptian Army, Navy, Air Force, and Air Defense Forces.

As of 2023, the Egyptian Army had an estimated 310,000 active soldiers, plus 375,000 reservists.

RANKING
In 2023, Egypt was ranked as the most powerful Arab and African army by Global Fire Power.

Egypt was ranked as the 13th most powerful armed force in the world.

ROLE IN THE REGION
Egypt's military is involved in maintaining security and stability in the region.
Egypt's military has been involved in limited clashes with extremist organizations.
 
Misri ina jeshi kubwa na lenye nguvu kuliko jeshi lolote Afrika na Arabuni.

EGYPTIAN MILITARY
Egypt's military is the largest in the Middle East and Africa. It is considered one of the most powerful armies in the world.

STRENGTH
The Egyptian Armed Forces include the Egyptian Army, Navy, Air Force, and Air Defense Forces.

As of 2023, the Egyptian Army had an estimated 310,000 active soldiers, plus 375,000 reservists.

RANKING
In 2023, Egypt was ranked as the most powerful Arab and African army by Global Fire Power.

Egypt was ranked as the 13th most powerful armed force in the world.

ROLE IN THE REGION
Egypt's military is involved in maintaining security and stability in the region.
Egypt's military has been involved in limited clashes with extremist organizations.
Kuliko hata Saudi Arabia?
 
Back
Top Bottom