Kongo DRC wauze Goma kwa TANZANIA, Kisha sisi TANZANIA tushughulike na hao M23, is very simple

Kongo DRC wauze Goma kwa TANZANIA, Kisha sisi TANZANIA tushughulike na hao M23, is very simple

Ujue ww ni tahira kbs south anatengeneza mpk magari vita anauzia mpk marekani south anatengeneza mpk helcopter za kivita uje uwalinganishe na wapasua matofari wny siraha za miaka ya 1920 ww siyo timamu ww vita ni tech nowdays sa jw wana tech ipi
Kuwa na silaha ni jambo Moja na kuwa na uwezo na mbinu za medani ni jambo tofauti.

Taleban vs USA
Hamas vs IDF
Russia vs Ukraine
 
Wewe mwanike wale kwetu sisi ni mapema tu
😹😹😹 Kule vyuma vinalia sio huku mnakotutisha kuvunja matofali taifa ohhh..!!
Muandike wosia kabisa msije kutusumbua baadae..!!
 
Amani iwe kwenu

Nimewaza mbali sana

Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu

Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana

Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu

Watu wa kongo na goma wakubali kuwa watanzania na Kisha goma iuuzwe kwa TANZANIA Kisha Tanzania imalize show mara moja kibabe sana

Kisha JW iingie mzigon kupambana na hawa wahuni

Very simple

LONDON BOY
Haitokaa itokee, eneonla nchi kuuzwa kama mkate. So stop hizo wishful thinking
 
Kwa silaha mnazo uziwa na dalali lugumi na vutambi vyenu ndo muwashinde watu wanao ishi vitani
 
Hio nchi anauza nani na kwa Niaba ya Nani ? Na nchi ni mali ya nani ? Hao vitukuu wa Kesho unadhani watakubaliana na Mpuuzi mmoja aliyeuza leo ?

Kuna matatizo mengine huwa yanakuwa created na mambo kama haya; au unataka kupata kina Palestina na Israel wa kesho ?;
 
Amani iwe kwenu

Nimewaza mbali sana

Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu

Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana

Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu

Watu wa kongo na goma wakubali kuwa watanzania na Kisha goma iuuzwe kwa TANZANIA Kisha Tanzania imalize show mara moja kibabe sana

Kisha JW iingie mzigon kupambana na hawa wahuni

Very simple

LONDON BOY
actually, kuna mtu anaongea hapa pembeni yangu kama utani, ati kwanini Tanzania na sisi tusijitwalie kaeneo huku mashariki, rwanda juu yake na uganda kipande ingine ili kupunguza hili linchi kubwa linalowashinda kumanage. ni utani tu lakini.
 
Kuwa na silaha ni jambo Moja na kuwa na uwezo na mbinu za medani ni jambo tofauti.

Taleban vs USA
Hamas vs IDF
Russia vs Ukraine
Tahira lingne humu ni wewe dubuwasha la ccm tuanze hapo kwa taleban vs marekani hvi siraha alizonazo marekan wangekuwa nazo taleban unadhan nn wangefanya kama si kumaliza mpk sisimizi ktu ambacho marekan wanaojali haki za bnadamu kwa kias fulan taleban walikuwa wanapgana vita kwa kuvizia wakiwa wamejifcha kwa raia wema ulitaka marekan aue watu wote wa afghanstan ksa taleban wamo katikati yao? Kama wao walikuwa na mbinu why wasngepgana vita ya live bila kujfcha khs hamas hao ndo usiwazungumzie kbs yan yale ndo takataka kbs sina haja hata ya kuwazungumzia khs russia na nduguye ukraine ile ndo vita sasa maana ni jeshi kwa jeshi hakuna kuviziana katikati ya raia wema wala kujifcha kwny mashimo kama mijusi nadhan ww unawadharau ukraine utambue wanapewa siraha kali na ulaya na marekani vngnevyo putin angekuwa yupo ikulu ya ukraine anapga vodca sku nyng sn
 
actually, kuna mtu anaongea hapa pembeni yangu kama utani, ati kwanini Tanzania na sisi tusijitwalie kaeneo huku mashariki, rwanda juu yake na uganda kipande ingine ili kupunguza hili linchi kubwa linalowashinda kumanage. ni utani tu lakini.
Sisi ustarabu mwingi sana mkuu
 
Back
Top Bottom