luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ni majumaa kadhaa nyuma nileta Uzi wa kuelezea jinsi biashara ya kuuza miili kwa wadada inavyofanywa hapa Shinyanga ktk eneo la Relini.
Nilikuja Shy na kukaa kama wiki 1 tu hivi awali, then wiki hii nimerejea tena kikazi vile vile, nikapita eneo lile ambalo ni kuna njia fupi ya kutokea kata ya Ngokolo kwenda mitaa ya Ibiza mata.
Safari nilikuta eneo ni shwari tofauti na nilivyopita kwa mara ya kwanza ambapo nilikutana na lundo la dadapoa wanaouza miili kwa bei ya kutupa kabisaa tena wakijinadi kwa 2000Tsh hafi 1500Tsh , safari huwezi amini niliwaona vidada viwili tu ambao na wenyewe walikuwa wana wasiwasi.
Nikadadisi kwa wenyeji vijana waendesha baiskeli pale Ibizamata ndipo, wakasema kulifanyika safisha safisha ya machangudoa, hakika mnastahili pongezi, Serikali ngazi ya mkoa, wilaya na wananchi kwa ujumla wenu.