Kongole kwa uongozi wa mkoa Shinyanga kwa kuwafurusha madada poa

Kongole kwa uongozi wa mkoa Shinyanga kwa kuwafurusha madada poa

Usijisifie sana wapo waliosomeshwa na kukuzwa na hao hao.
Agreed nawe 100%,hawa middle class wetu ni shida tupu, sasa anakuja na uzi wa kusifia kuondolewa kwa ladies of the night, hakuna kilichofanyika hapo ,hao wamesukumwa from point A to B,kabla ya Kuja na wazo la kiutafiti why kuna wanawake wengi wanaofanya biashara hiyo mtoa hoja anademka na kuondolewa kwao,nilitegemea nisikie RC kaja na wazo la kuwawezesha akina dada hawa ili wajiajiri wenyewe, na pia tuelewe kuwa hawavunji sheria kuwepo pale
 
Ni majumaa kadhaa nyuma nileta Uzi wa kuelezea jinsi biashara ya kuuza miili kwa wadada inavyofanywa hapa Shinyanga ktk eneo la Relini.

Nilikuja Shy na kukaa kama wiki 1 tu hivi awali, then wiki hii nimerejea tena kikazi vile vile, nikapita eneo lile ambalo ni kuna njia fupi ya kutokea kata ya Ngokolo kwenda mitaa ya Ibiza mata.

Safari nilikuta eneo ni shwari tofauti na nilivyopita kwa mara ya kwanza ambapo nilikutana na lundo la dadapoa wanaouza miili kwa bei ya kutupa kabisaa tena wakijinadi kwa 2000Tsh hafi 1500Tsh , safari huwezi amini niliwaona vidada viwili tu ambao na wenyewe walikuwa wana wasiwasi.

Nikadadisi kwa wenyeji vijana waendesha baiskeli pale Ibizamata ndipo, wakasema kulifanyika safisha safisha ya machangudoa, hakika mnastahili pongezi, Serikali ngazi ya mkoa, wilaya na wananchi kwa ujumla wenu.
Dada poa wanafaida kubwa sana

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Toka nimepata uhakika wa kula ile kitu....kujiamini kumeongezeka, utendaji kazi umeongezeka yaani nafanya kazi kwa ufanisi......papuchi ni kitu kizuri sana
 
Back
Top Bottom