misimajumbasita
Senior Member
- Jun 10, 2018
- 157
- 273
Amemua kuwa mtangazaji kabisaPongezi kwako kwa maamuzi hayo ya kua mtangazi bado ni fursa nzuri naomba nikutakia heri na wana jf tumtakie heri mbunge huyu mstaafu wa mikumi
Ameanza lini na anatangaza kipindi gani??Pongezi kwako kwa maamuzi hayo ya kua mtangazi bado ni fursa nzuri naomba nikutakia heri na wana jf tumtakie heri mbunge huyu mstaafu wa mikumi
Ameanza lini na anatangaza kipindi gani??
Amechukua nafasi ya Nani?Katambulishwa leo kipindi cha power breakfast
Maisha ni kupambana kwa hiyo acha apambane..Mbunge,mwanamuziki then mtangazaji!!
Na Kuna watu hawana ajira!
Bwashee usiamini kila unavhokisoma hapa Jf!Wale ndugu zangu walio kunywa maji ya bendera ya vyama vyao vya siasa "......clouds CCM........ mimi si sikilizi Clouds sababu ni CCM......",haya sasa Prof J huyo mjengoni,sijui mtampokonya uwanachama.
He is a hustler...Maisha ni kupambana kwa hiyo acha apambane..
Mbunge,mwanamuziki then mtangazaji!!
Na Kuna watu hawana ajira!
Maisha mkuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Amemua kuwa mtangazaji kabisa
Mwenye nacho huongezewa mkuuMbunge,mwanamuziki then mtangazaji!!
Na Kuna watu hawana ajira!
Umesema vyema kuwa alishindwa kwa mujibu wa tume lakini kiuhalisia alishindaNi mbunge wa zamani au aliyewahi kuwa mbunge sio mstaafu,huyo aligombea tena akashindwa kwa mujibu wa matokeo ya tume ya uchaguzi hakuwahi kustaafu naona hili neno kustaafu siku hizi linatumika vibaya.
Binafsi nawajua wabunge kadhaa waliowahi kustaafu mfano Marehemu Mzindakaya, Marehemu Sitta,Mzee Edger Majogo,Mzee Pinda hawa waliamua kuacha kugombea wenyewe baada ya kutumikia ubunge kwa muda fulani na wakafikia uamuzi wa kuachia wengine wabebe jukumu lakini sio hawa wanaogombea na kushindwa waitwe wastaafu.
Sikutaka kuingia kwenye ubishani huo ndio maana nikaandika vile kwani nilijua utazuka mjadala mwingine ambao kimsingi hauna maana yoyote na haisaidii chochote.Umesema vyema kuwa alishindwa kwa mujibu wa tume lakini kiuhalisia alishinda