Kongole kwako Profesa Jay kuwa mtangazaji wa redio Clouds

Kutoka Ubunge hadi utangazaji ni failure.

Hivi kweli Professor J. ameshindwa hata kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga kule Morogoro, anaishia kuwa mtangazaji?

Kiinua mgongo alichopata kwenye Ubunge ni mtaji tosha wa kuanzisha kilimo cha kisasa kuliko kuwa mpiga kelele redioni.
 
Kwaio ulitaka asubir tena ubunge
Pia kwan hawez kulima hata akiwa mtangazaj mbona wengi wana lima na bado wapo maofisn punguza chuki
 
Kutoka Ubunge hadi utangazaji ni failure.

Hivi kweli Professor J. ameshindwa hata kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga kule Morogoro, anaishia kuwa mtangazaji?

Kiinua mgongo alichopata kwenye Ubunge ni mtaji tosha wa kuanzisha kilimo cha kisasa kuliko kuwa mpiga kelele redioni.
Hujui usemalo, hii nafasi unaiona ndogo lakini hujui malengo yake.
Alipoanza muziki ulijua ipo siku atakuwa mbunge?
 
Kutoka Ubunge hadi utangazaji ni failure.

Hivi kweli Professor J. ameshindwa hata kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga kule Morogoro, anaishia kuwa mtangazaji?

Kiinua mgongo alichopata kwenye Ubunge ni mtaji tosha wa kuanzisha kilimo cha kisasa kuliko kuwa mpiga kelele redioni.
Unajisikiaje endapo utakuwa umetoa povu kwenye story ambayo haina ukweli wowote...

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Redio ya CCM hyo ambayo Chadema walipigia kampeni isisikilizwe ...anyway get rich or die trying ...!!!
 
Yote maisha tu, muhimu mkono upeleke tonge kinywani...

Kuna wakati ukifika mtu unaweza kuamua kufanya kazi ya ndoto yako pasipo kujali sana maslahi...
 
Ni uwoga tuu wa maisha... Umefika ngazi ya ubunge unaenda kuajiriwa kwenye radio? Hizo nafasi Ni za vijana waliomaliza vyuo we unaenda kuzikalia au ndo mbinu ya kutafutia udc😀😀😀
 
Kweli watu wengi humu wanasubiri wwnasubiri habari za kuletewa. Kazi kwao kuchamba tu. Hahahahaaa
 
Back
Top Bottom