Kongole kwako Profesa Jay kuwa mtangazaji wa redio Clouds

Kongole kwako Profesa Jay kuwa mtangazaji wa redio Clouds

Mkewe ni MC yule! Kwa hela atakuwa nayo lazima sababu si kuna 250M ukiachilia zile 11M za kila mwezi
Hyo 11m Kwa 6month c alikua na nyumba
Nzur Tu za wapangaj? Bado kuna allowance
Aiseeee Kama Hana bas bongo bata ztatumaliza na kupenda maisha ya high quality
 
Mtoa mada kadandia treni hajui inaenda wapi na hajaelewa why profesa J Leo alikuwa powerbreakfast. ...Profesa na jaydee wanashow mwisho wa wiki hii ,kwa muda wa wiki mbili clouds wanapiga promo hiyo show ..last week alienda jaydee powerbreakfast asubuhi na Leo kaenda profesa mahususi kwa ajili ya kutangaza show..NA SIO KWAMBA KAANZA KAZI YA UTANGAZAJI CLOUD'S
 
Hapo kwenye uwekezaj [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sugu Ile hotel yake aliyojenga
Akiwa mbunge ndo nlimwaminia
Mpaka leo aiseee
Kamuulize anavyotokota na bank...!! Kama sio jiwe kumkingia kifua Leo hii angekuwa studio anapayuka payuka
 
Kamuulize anavyotokota na bank...!! Kama sio jiwe kumkingia kifua Leo hii angekuwa studio anapayuka payuka
Lakin nae c alikua anakatwa mshara na bank
Au ndo ubunge uliisha akiwa hajamaliza a
Na bank
 
Wale ndugu zangu walio kunywa maji ya bendera ya vyama vyao vya siasa "......clouds CCM........ mimi si sikilizi Clouds sababu ni CCM......",haya sasa Prof J huyo mjengoni,sijui mtampokonya uwanachama.
Kwani profesa je huwa ndiye anawapangia watu vituo vya kusikiliza
 
Kamuulize anavyotokota na bank...!! Kama sio jiwe kumkingia kifua Leo hii angekuwa studio anapayuka payuka
Kwani jiwe si alimkingia kifua kwa NEMC ndio walitaka kubomoa na sio bank.
 
Utangazaji ni professional inayosomewa ila kwa siku za hivi karibuni hapa tanzania umaarufu wa mtu ndio sifa ya kwanza kuwa mtangazaji. Upumbavu mtupu
 
Kitaa sio poa huku pasikieni tu [emoji81] hasa ukiwa umetoka kwenye life la kupokea 300K kwa masaa!!! Acha ajishkize term ijayo agombee tena mikumi huenda akapata

Chadema kwa huyo jamaa walibugi tu,hana upinzani wowote ule.Ni mchelemchele tu
 
Mtoa mada kadandia treni hajui inaenda wapi na hajaelewa why profesa J Leo alikuwa powerbreakfast. ...Profesa na jaydee wanashow mwisho wa wiki hii ,kwa muda wa wiki mbili clouds wanapiga promo hiyo show ..last week alienda jaydee powerbreakfast asubuhi na Leo kaenda profesa mahususi kwa ajili ya kutangaza show..NA SIO KWAMBA KAANZA KAZI YA UTANGAZAJI CLOUD'S
💯💯👍👍
 
So sad jamaa anaonekana hakujipanga alikuwa anachezea pesa
Me nilitarajia yeye now ndo angesaidia kutoa huduma kwa vijana wetu
Kabisa yani mziki kwake ingekua ni kwa mazoea like ndo lifestyle sasa yeye ni biashara full time kwakweli hakujipanga na pia hakutegemea kutokua mbunge
 
Utangazaji ni professional inayosomewa ila kwa siku za hivi karibuni hapa tanzania umaarufu wa mtu ndio sifa ya kwanza kuwa mtangazaji. Upumbavu mtupu
Waliojaza mavyeti makabatini wengi hawana charisma, Clouds media ni franchise na wanaangalia nani atawafaa kibiashara kulingana na ushindani ulivyo.
 
Back
Top Bottom