Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Big Chinga BoyNampongeza Masudi Kipanya kwa ubunifu wa kile kigari chake, kuna watu wanajiita wasomi lakini hawajawahi kubuni hata mswaki, watu wengi wenye wivu tabia zao zinafanana yaani badala ya watu kumtia moyo na kumpongeza wanambeza, huku maprofesa wakijikita kukamata wasichana sapu ili wahongwe ngono. Masudi kaupiga mwingi sana Kongole bro.
Kila ambaye kashindwa kufanya uwa anasema akiungana, akipata support kujustify kutofanya kwake.Huyu Masud ni akili kubwa Sana ,nikiungana naye tutafanya makubwa sana
Wasomi wa Tanzania fahari yao ni kuongea broken English tu, umeona wapi msomi hapa Tanzania kafanya la maana?Nampongeza Masudi Kipanya kwa ubunifu wa kile kigari chake, kuna watu wanajiita wasomi lakini hawajawahi kubuni hata mswaki, watu wengi wenye wivu tabia zao zinafanana yaani badala ya watu kumtia moyo na kumpongeza wanambeza, huku maprofesa wakijikita kukamata wasichana sapu ili wahongwe ngono. Masudi kaupiga mwingi sana Kongole bro.
Kwa nini mpaka uungane na mtu?Huyu Masud ni akili kubwa Sana ,nikiungana naye tutafanya makubwa sana
Waswahili walisema,Umoja ni nguvuKwa nini mpaka uungane na mtu?
Mtafute tu umuonyeshe una nini unaweza kuwa una kitu ambacho yeye hana na alikuwa anakitafuta. Kila kitu ni kujaribu. Penye nia pana njia.Huyo masudi wenu anaweza hata kupiga wiring ??? au n promota
Wanafanya sema nini mkuu hawapewi nafasi. Wameshafanya research nyingi sana zinaishia kutunzwa kabatini. Siasa ndio zinaharibu kupewa nafasi zaidi huku utaalam ukitupwa pembeni.Wasomi wa Tanzania fahari yao ni kuongea broken English tu, umeona wapi msomi hapa Tanzania kafanya la maana?
ubunifu wa theory ama upi unaozungumzia jamaa?Watu mnawaponda wasomi wa Tanzania, ila natamani siku wanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Engineering wanavyofanya presentation wawe wanaruhusu watu wakaone ubunifu mtashangaa.