Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Nampongeza Masudi Kipanya kwa ubunifu wa kile kigari chake, kuna watu wanajiita wasomi lakini hawajawahi kubuni hata mswaki, watu wengi wenye wivu tabia zao zinafanana yaani badala ya watu kumtia moyo na kumpongeza wanambeza, huku maprofesa wakijikita kukamata wasichana sapu ili wahongwe ngono. Masudi kaupiga mwingi sana Kongole bro.