Kongole nyingi sana kwa Dr. Nchimbi kazi yako inaonekana baba

Kongole nyingi sana kwa Dr. Nchimbi kazi yako inaonekana baba

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno.

Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata muhimu ya chama, wanainchi na serikali baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha majukumu yake mazito ya ya maendeleo na kuliongoza Taifa 2035.

Matokeo ya utendaji wako makini, tulivu, wa kimkakati na kisayansi ndani ya chama yanaonekana dhahiri shahiri mchana kweupe.

Well done Dr Emmanuel Nchimbi the Ruvuma, Songea kingpin 👊💪

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom