Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,921
- 2,551
Nikienda kwenye mada mojakwa Moja. Nichukue fursa hii kumshukuru sana Mh. Rais Kwa kuondoa huyo mzee mzembe,kiburi,asiyejali maslahi ya wenzake.
Watu wamekua wakimlalamikia muda mrefu sana lakini hajali. Huduma mbovu sana, wale watu wake wanaopokea simu wanajibu wanavyotaka,mtu anafuatilia michango yake siku nenda rudi kama vile anaomba ajira
Binafsi natamani hata angetenguliwatu maama hana tija kwa watanzania wenzake
Ucheleweshwaji wa haki ndio unapelekea mtu kuona bora atoe rushwa ili ahudumiwe.
PSSSF msijinasibu kutoa huduma online bora mngewaambia watu waje mpangane nao kama mnataka kiasi gani ndio muwalipe hela zao
Mtu anadai mafao mwakamzima kilasiku ngonjera,hadithi,nahau na miaemo mipya.
Mkurugenzi mpya uliyeteuliwa fanya ufuatiliaji wa hao watu wako huko mikoani. Niwala rushwa na wazembe.
Kitengo cha huduma kwa wateja hapo makao makuu kimeoza ni uvundo wanapokea simu kisha hawazifanyii kazi
Leo naishia hapa