Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,921
- 2,551
Mwenzio kapoteza ugali wake wewe unachekelea? Kweli Wachawi Mitano Tena
Hataki kutoa hela za watu utadhani anaombwa msaada. Tena angetenguliwa akarudishwa wizarani kusoma magazetiMwenzio kapoteza ugali wake wewe unachekelea? Kweli Wachawi Mitano Tena
Oya yaan km ndio hivyo weengi watafukuzwa kaziUnadhani kaonewa?
Au ndio alichopanda ndicho amevuna
Kazi ina umri kuna umri wa kufanya kazi na umri waa kupumzika kula mafaoHataki kutoa hela za watu utadhani anaombwa msaada. Tena angetenguliwa akarudishwa wizarani kusoma magazeti
Hataki kutoa hela za watu utadhani anaombwa msaada. Tena angetenguliwa akarudishwa wizarani kusoma magazeti ingependezaMwenzio kapoteza ugali wake wewe unachekelea? Kweli Wachawi Mitano Tena
Yeye Sasa hataki kutoa mafao kwa wanufaika. Yaani alipokua bodi ya mikopo alikua anasema bajeti ilikua haikidhi. Pale rushwa ilitawala sanaaaa.Kazi ina umri kuna umri wa kufanya kazi na umri waa kupumzika kula mafao
Hii taasisi imekufa kifo cha mende. Watanzania wenye roho mbaya ndio wanapewa majukumu ya kuhudumia wahitaji.Pssf ni taasisi ya hovyo sana mnachukua michango ya mtu ila.kumlipa inakuwa nongwa
Hajapoteza kapewa huko kwenye wanyama!Mwenzio kapoteza ugali wake wewe unachekelea? Kweli Wachawi Mitano Tena
Wazo zuri,lipewe kipaombele!Mimi nafikiri wakitaka hii mifuko (PSSSF & NSSF) ipate ufanisi wa haraka wapewe Viongozi waliosoma enzi kukiwa na Internet, Namaanisha wapewe watu wanaoweza kuintegrate Internet, Digital Data base, Kitambulisho cha Nida na hivyo kumaliza kabisa tatizo la wastaafu kusumbuliwa wakati wamesha staafu...kwa sababu kila kitu kitawekwa kwenye digital data base wakati mstaaf bado yupo kwenye ajira. Hii ya kudai mstaafu barua ya ajira aliyopewa miaka 30 iliyopita, sijui mkataba gani nk nk naona haijakaa sawasawa.....
Wakiunganisha hivyo kila kitu kinakuwa wazi na mfanyakazi anaweza kuandika miradhi kabisa ya mafao yake inawekwa huko hata akifa wana angalia tu faili lake mnufaika anapewa fungu lake bila longo longo
Tofauti na sasa hela zinaweza kuwa zinabaki zina float...hazina mwenyewe kwa kuwa watu wanafuatilia wanachoka....na wajanja wanajichotea....
Wanashangaza sana hao watu wanawadai watu vitu vya ajabu wakati taarifa za michango wanayo.Mimi nafikiri wakitaka hii mifuko (PSSSF & NSSF) ipate ufanisi wa haraka wapewe Viongozi waliosoma enzi kukiwa na Internet, Namaanisha wapewe watu wanaoweza kuintegrate Internet, Digital Data base, Kitambulisho cha Nida na hivyo kumaliza kabisa tatizo la wastaafu kusumbuliwa.....kwa sababu kila kitu kitawekwa kwenye digital data base wakati mstaafu bado yupo kwenye ajira. Hii ya kudai mstaafu barua ya ajira aliyopewa miaka 30 iliyopita, sijui mkataba gani nk nk naona haijakaa sawasawa.....
Wakiunganisha hivyo pia kila kitu kinakuwa wazi na mfanyakazi anaweza kuandika miradhi kabisa ya mafao yake inawekwa huko hata akifa wana angalia tu faili lake mnufaika (mkewe/Mumewe/watoto) anapewa fungu lake bila longo longo....tofauti na sasa hela zinaweza kuwa zinabaki tu zina float...hazina mwenyewe kwa kuwa walalahoi wanafuatilia hadi wanachoka....na wajanja wanajichotea....
Ama kweli watanzania sio wafuatiliaji, bure kabisa! Badru kapelelwa pazuri zaidi - Ngorongoro. Na hii taarifa ilikuwa ktk press release ile ile ya kumuondoa PSSSF. It's unbelievable, watu hawana muda wa kuzingatia mamboMwenzio kapoteza ugali wake wewe unachekelea? Kweli Wachawi Mitano Tena
Kwa hiyo uzembe na kiburi kimehamishiwa kule alikopelekwa?Nikienda kwenye mada mojakwa Moja. Nichukue fursa hii kumshukuru sana Mh. Rais Kwa kuondoa huyo mzee mzembe,kiburi,asiyejali maslahi ya wenzake.
Watu wamekua wakimlalamikia muda mrefu sana lakini hajali. Huduma mbovu sana, wale watu wake wanaopokea simu wanajibu wanavyotaka,mtu anafuatilia michango yake siku nenda rudi kama vile anaomba ajira
Binafsi natamani hata angetenguliwatu maama hana tija kwa watanzania wenzake
Ucheleweshwaji wa haki ndio unapelekea mtu kuona bora atoe rushwa ili ahudumiwe.
PSSSF msijinasibu kutoa huduma online bora mngewaambia watu waje mpangane nao kama mnataka kiasi gani ndio muwalipe hela zao
Mtu anadai mafao mwakamzima kilasiku ngonjera,hadithi,nahau na miaemo mipya.
Mkurugenzi mpya uliyeteuliwa fanya ufuatiliaji wa hao watu wako huko mikoani. Niwala rushwa na wazembe.
Kitengo cha huduma kwa wateja hapo makao makuu kimeoza ni uvundo wanapokea simu kisha hawazifanyii kazi
Leo naishia hapa