Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Mimi ni Kati ya watu wanaomkosoa Sana mh JPM humu wakati mwingine nakuwa mkali mno kwa mh rais kwa hili anisamehe maana ndio hulka yangu nikiwa na Jambo silielewi.
Lakini nakiri wazi Kuna Mambo napaswa kumpongeza yeye na serikali yake.
Kupunguza ugaidi
Mh Rais nakiri kwa uwazi kuwa Sasa Mambo ya kuishi kwa hofu yamepungua ugaidi ule wa mujahidina umepungua kongole kwako mh rais mungu akubariki kwa hili.