Kongole Rais Magufuli kwa kutokomeza ugaidi na viashiria vyake

Kongole Rais Magufuli kwa kutokomeza ugaidi na viashiria vyake

Ya mkiru na utekaji umeshawahi kuyasikia Tena? Nipe recently update tokea kipilimba ameondoka

..hujasikia viongozi na wafuasi wa cdm wanaoshambuliwa na kutekwa?

..huo siyo UGAIDI?

..shambulizi dhidi ya TL halikuwa ugaidi?

..mauaji ya Alphonce Mawazo siyo.ugaidi?

..kwanini magaidi wanaoua na kuumiza wana-cdm hawashughulikiwi kama walivyoshughulikiwa magaidi wa Mkiru?
 
Watu wameishasahau ya Kibiti, majuzi hapa tu!
 
Mimi ni Kati ya watu wanaomkosoa Sana mh JPM humu wakati mwingine nakuwa mkali mno kwa mh rais kwa hili anisamehe maana ndio hulka yangu nikiwa na Jambo silielewi.

Lakini nakiri wazi Kuna Mambo napaswa kumpongeza yeye na serikali yake.

Kupunguza ugaidi

Mh Rais nakiri kwa uwazi kuwa Sasa Mambo ya kuishi kwa hofu yamepungua ugaidi ule wa mujahidina umepungua kongole kwako mh rais mungu akubariki kwa hili.

I will never give props to this nigga!

I paid my taxes for him to do all these and more importantly,do all other things!

Ge the fvck outta here you dummies!
 
Utalinganisha na awamu ipi kwa mfano!
Acha ujinga wewe.Huku kwetu Mbeya kila siku alfajiri tunaokota maiti za bodaboda wamechinjwa kama kondoo wameibiwa pikipiki zao halafu unaleta propaganda?
Hivi mashambulio ya watu wasiojulikana sio ugaidi?Ugaidi tena unaofanywa na dola ndani ya eneo la bunge.Mo alitekwa,Kabendera alutekwa,Roma alitekwa,MKIRU,Kule mpakani na msumbiji kulikuwa na ujambazi.Tuseme mangapi?




Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ujambazi umepungua Sana kwa mwaka mzima hatusikii tukio la ujambazi kabisa Yani mpaka tunatamani Yale mamuvu ya ubungo yajirudie tupate kuhadithia vijiweni .

Kongole mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania MH John Joseph Pombe Magufuli.
Vitendo vya kigaidi ni kweli vimepungua (ama vimekoma), ila ujambazi bado upo tena wakutosha
 
..Turudi kwenye MISINGI.

..Mwalimu Nyerere wakati wa kudai UHURU alisema wananchi wa TANGANYIKA tunataka kuwasha MWENGE WA UHURU utakaomulika ndani na nje ya mipaka yetu na kuleta MATUMAINI pale ambako hakuna, kuleta UPENDO pale penye chuki, na HESHIMA pale penye dharau.

..Hebu tujiulize ktk awamu ya 5 kuna matumaini? Kuna upendo? Kuna heshima?
hivi eti zile maiti zilizokuwa zikiokotwa coco ni kutoka wapi vile? Eti yale matendo ya kina ROMA, MO, BEN SAANANE, TL... nk. yalitokea awamu zilizopita eti? Ama yalitokea nje ya nchi hii?
 
Hata ujambazi umepungua Sana kwa mwaka mzima hatusikii tukio la ujambazi kabisa Yani mpaka tunatamani Yale mamuvu ya ubungo yajirudie tupate kuhadithia vijiweni .

Kongole mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania MH John Joseph Pombe Magufuli.
Tatizo lako unakesha kuangalia mambo ya umbeya na stori za wasanii wa Tz, mwezi uliopita hujasikia Mambo sasa akidai wameuwa majambazi Dar?
 
Jitoe Ufahamu tu Ikawaje lisu kapigwa Risasi Vipi ben saa 8 Inakuaje Watu wanatekwa hovyo without reason

Nadhani Sifa haiitaji Nguvu Kizuri Huwa kinajitangaza

Kibaya chajitembeza like that

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe io ilikuwa zamani sahvi hayajatea kwa wingi. Visa vimepungua.
 
Acha kujitoa akili,maana ya ugaidi unaijua?Tanzania ugaidi ilitokea enzi za ubalozi wa Marekani na Kenya?waulize wakenya watakuambia ugaidi ni nini.
Kenyans njooni huku mnaitwaaaa!! Wazee wa mungiki alshaabab. pia mkuye! Muyawone mambo!!!
 
Back
Top Bottom