Absolutely correct kaka ground officers ndio kila kituTuwakumbuke na ground officers basi!
Kuna watu wanakesha kuhakikisha hakuna uhalifu unaotendeka. They deserve credit!
Sasa nyie kila kitu magufuli tu! Hata mtu akijamba anasema asante magufuli umenisaidia kujamba!
Anyway, ni haki yako!
Tuwakumbuke na ground officers basi!
Kuna watu wanakesha kuhakikisha hakuna uhalifu unaotendeka. They deserve credit!
Sasa nyie kila kitu magufuli tu! Hata mtu akijamba anasema asante magufuli umenisaidia kujamba!
Anyway, ni haki yako!
Si ndo wale waliozikwa kwenye jeneza la mmarekani kwamba ugaidi ni mujahidinaJitoe Ufahamu tu Ikawaje lisu kapigwa Risasi Vipi ben saa 8 Inakuaje Watu wanatekwa hovyo without reason
Nadhani Sifa haiitaji Nguvu Kizuri Huwa kinajitangaza
Kibaya chajitembeza like that
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni Kati ya watu wanaomkosoa Sana mh JPM humu wakati mwingine nakuwa mkali mno kwa mh rais kwa hili anisamehe maana ndio hulka yangu nikiwa na Jambo silielewi.
Lakini nakiri wazi Kuna Mambo napaswa kumpongeza yeye na serikali yake.
Kupunguza ugaidi
Mh Rais nakiri kwa uwazi kuwa Sasa Mambo ya kuishi kwa hofu yamepungua ugaidi ule wa mujahidina umepungua kongole kwako mh rais mungu akubariki kwa hili.
Jitoe Ufahamu tu Ikawaje lisu kapigwa Risasi Vipi ben saa 8 Inakuaje Watu wanatekwa hovyo without reason
Nadhani Sifa haiitaji Nguvu Kizuri Huwa kinajitangaza
Kibaya chajitembeza like that
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwakumbuke na ground officers basi!
Kuna watu wanakesha kuhakikisha hakuna uhalifu unaotendeka. They deserve credit!
Sasa nyie kila kitu magufuli tu! Hata mtu akijamba anasema asante magufuli umenisaidia kujamba!
Anyway, ni haki yako!
Unaonaje wewe ukadisapia kwanzaHuyu alitakiwa kudisapia kabisa,hua nikiona sura yake napata gazabu sana
Acha ujinga wewe.Huku kwetu Mbeya kila siku alfajiri tunaokota maiti za bodaboda wamechinjwa kama kondoo wameibiwa pikipiki zao halafu unaleta propaganda?Hata ujambazi umepungua Sana kwa mwaka mzima hatusikii tukio la ujambazi kabisa Yani mpaka tunatamani Yale mamuvu ya ubungo yajirudie tupate kuhadithia vijiweni .
Kongole mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania MH John Joseph Pombe Magufuli.
Wewe ndo gaidi halisi.. yangemkuta dr. Bashiru ungesema hivyo?Lissu ni msaliti ,hafai,alitakiwa kudisapia kabisa ,bahati yake
Ya mkiru na utekaji umeshawahi kuyasikia Tena? Nipe recently update tokea kipilimba ameondokaAcha ujinga wewe.Huku kwetu Mbeya kila siku alfajiri tunaokota maiti za bodaboda wamechinjwa kama kondoo wameibiwa pikipiki zao halafu unaleta propaganda?
Hivi mashambulio ya watu wasiojulikana sio ugaidi?Ugaidi tena unaofanywa na dola ndani ya eneo la bunge.Mo alitekwa,Kabendera alutekwa,Roma alitekwa,MKIRU,Kule mpakani na msumbiji kulikuwa na ujambazi.Tuseme mangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app