Ya mkiru na utekaji umeshawahi kuyasikia Tena? Nipe recently update tokea kipilimba ameondoka
Teh.... si ndio hiyo mnaita awamu ya tano sijui!Undersupervion of Magufuli
Mimi ni Kati ya watu wanaomkosoa Sana mh JPM humu wakati mwingine nakuwa mkali mno kwa mh rais kwa hili anisamehe maana ndio hulka yangu nikiwa na Jambo silielewi.
Lakini nakiri wazi Kuna Mambo napaswa kumpongeza yeye na serikali yake.
Kupunguza ugaidi
Mh Rais nakiri kwa uwazi kuwa Sasa Mambo ya kuishi kwa hofu yamepungua ugaidi ule wa mujahidina umepungua kongole kwako mh rais mungu akubariki kwa hili.
k@tombw# kule popoma ww!Huyu alitakiwa kudisapia kabisa,hua nikiona sura yake napata gazabu sana
Acha ujinga wewe.Huku kwetu Mbeya kila siku alfajiri tunaokota maiti za bodaboda wamechinjwa kama kondoo wameibiwa pikipiki zao halafu unaleta propaganda?
Hivi mashambulio ya watu wasiojulikana sio ugaidi?Ugaidi tena unaofanywa na dola ndani ya eneo la bunge.Mo alitekwa,Kabendera alutekwa,Roma alitekwa,MKIRU,Kule mpakani na msumbiji kulikuwa na ujambazi.Tuseme mangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitendo vya kigaidi ni kweli vimepungua (ama vimekoma), ila ujambazi bado upo tena wakutoshaHata ujambazi umepungua Sana kwa mwaka mzima hatusikii tukio la ujambazi kabisa Yani mpaka tunatamani Yale mamuvu ya ubungo yajirudie tupate kuhadithia vijiweni .
Kongole mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania MH John Joseph Pombe Magufuli.
Ila wanakanyaga mafuta....
hivi eti zile maiti zilizokuwa zikiokotwa coco ni kutoka wapi vile? Eti yale matendo ya kina ROMA, MO, BEN SAANANE, TL... nk. yalitokea awamu zilizopita eti? Ama yalitokea nje ya nchi hii?..Turudi kwenye MISINGI.
..Mwalimu Nyerere wakati wa kudai UHURU alisema wananchi wa TANGANYIKA tunataka kuwasha MWENGE WA UHURU utakaomulika ndani na nje ya mipaka yetu na kuleta MATUMAINI pale ambako hakuna, kuleta UPENDO pale penye chuki, na HESHIMA pale penye dharau.
..Hebu tujiulize ktk awamu ya 5 kuna matumaini? Kuna upendo? Kuna heshima?
Tatizo lako unakesha kuangalia mambo ya umbeya na stori za wasanii wa Tz, mwezi uliopita hujasikia Mambo sasa akidai wameuwa majambazi Dar?Hata ujambazi umepungua Sana kwa mwaka mzima hatusikii tukio la ujambazi kabisa Yani mpaka tunatamani Yale mamuvu ya ubungo yajirudie tupate kuhadithia vijiweni .
Kongole mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania MH John Joseph Pombe Magufuli.
Wewe io ilikuwa zamani sahvi hayajatea kwa wingi. Visa vimepungua.Jitoe Ufahamu tu Ikawaje lisu kapigwa Risasi Vipi ben saa 8 Inakuaje Watu wanatekwa hovyo without reason
Nadhani Sifa haiitaji Nguvu Kizuri Huwa kinajitangaza
Kibaya chajitembeza like that
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenyans njooni huku mnaitwaaaa!! Wazee wa mungiki alshaabab. pia mkuye! Muyawone mambo!!!Acha kujitoa akili,maana ya ugaidi unaijua?Tanzania ugaidi ilitokea enzi za ubalozi wa Marekani na Kenya?waulize wakenya watakuambia ugaidi ni nini.