butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Hiyo lodge si ni ya familia ya Marehemu Mrema(siyo TLP) chini Impala Group of Hotels na ilikufa baada ya mikutano ya kiserikali kusitishwa na JPM,lakini vilevile ilikuwa na madeni mpaka wafanyakazi wake 193 wakaenda Mahakamani na Mahakama ikaamulu baadhi ya Mali ziuzwe Ili kulipa wafanyakazi.Nafurahia sana jambo hilo hongera kwake Rais Hassan [emoji817][emoji817][emoji817]
Hilo lilikuwa chaka la pesa zetu za Kodi kupigwa na Wahuni.Sasa Samia anahusika vipi kufufua hoteli ya mtu binafsi ilihali General Tyre ya Arusha imemshinda?
Note:I stand to be corrected!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app