CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule.
Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi? Au alitulia tu kwa huzuni yake?